Kwanini wanawake wengi wakishajifungua wanakuwa rahisi kuchukuliwa na vidume?

Mmh. Nadhani kila mmoja ana namna yake ya kuishi ukiona mtu amekuwa mrahisi jua ndio maisha aliyoyachagua hayo.

Ila ifikie kipindi mtuache wanawake tupumue. Khaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmh. Nadhani kila mmoja ana namna yake ya kuishi ukiona mtu amekuwa mrahisi jua ndio maisha aliyoyachagua hayo.

Ila ifikie kipindi mtuache wanawake tupumue. Khaaa

tehe tehe tehe watuache kwa kweli
wameamua kufunga mwaka na sisi
 
Wanawake mnaolea watoto peke yenu bila usaidizi wa waliowazalisha. Na mnapatikana katika jamii, na hata humu JF kama hivi

Alaa kumbe, ina maana katika familia, ukoo wako, mtaa wako pia wapo na si ajabu na wewe ni zao lao. Hapo nimekuelewa.
 
Kwanza ukisha zaa tu asilimia zina shuka ata uwe mrembo aje....afu ndo utelekezwe sasa
Wanakuwa wepesi coz wako very desperate ni wepes maana mzigo umechuja ata mamen wanampisha uko njiani wanajua mke wa mtu.....
Kwaio mwanaume ukijilengesha na viswaga vya kutaka kumuoa apo atakung'ang'ania balaaa
Kweli mkuu alafu wasumbufu hao.
 
Back
Top Bottom