Kwanini wanawake wengi wakishajifungua wanakuwa rahisi kuchukuliwa na vidume?

geophrey140

Senior Member
May 4, 2013
134
208
sanny.jpg

Katika pita pita zangu wale wadada wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanashuka chini na inakuwa rahisi kupiga sound ya kawaida na kuchukua mzigo ila kipindi kabla ilikuwa hata kusalimia watu ni tabu kwake.

Najiuliza kwa nini hulainika na kuwa na heshima pindi wanapo zalishwa?
 
anaona thamani yake imeshashuka.
now she feels worthless
now she feels cheap
now she feels undeserving
now she feels unlovable

now she starts feeling how a poor person feels.
you step on a poor person's feet he says I know its bcoz I'm poor, same way as you bang a single mom n break her heart, she says I know its bcoz I'm a single mom.

A poor person bcomes nyc to everyone expecting the world to treat her/him fairly, same as a single mom she bcomes nyc to every man expecting to b treated lovingly.
 
Kwanza ukisha zaa tu asilimia zina shuka ata uwe mrembo aje....afu ndo utelekezwe sasa
Wanakuwa wepesi coz wako very desperate ni wepes maana mzigo umechuja ata mamen wanampisha uko njiani wanajua mke wa mtu.....
Kwaio mwanaume ukijilengesha na viswaga vya kutaka kumuoa apo atakung'ang'ania balaaa
 
Mmmh, sina hakika sana juu ya hilo kama ni "wanawake wengi" kama ulivyosema. Labda ni wanawake uliowahi kuzaa nao mkuu. Ila pia inategemea na;

1. Amezaa na mwanaume gani? Hapa wanaangalia kama anajitambua au hajitambui na pia kama anampenda au hampendi.

2. Huyo mwanaume anamjali au hamjali..??

3. Huyo mwanaume anaprovide kwa familia au la. Hapa wapo wenye nazo ila hawana time na familia, na wapo ambao hawana hela but they fight to make it.

Kinyume cha hayo yote, ndio yanaweza kupelekea mada yako kuwa na ukweli. Ila hawa wasio na watoto nao wanapigika sana tu mkuu...!!!
 
View attachment 634052
Katika pita pita zangu wale wadada wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanashuka chini na inakuwa rahisi kupiga sound ya kawaida na kuchukua mzigo ila kipindi kabla ilikuwa hata kusalimia watu ni tabu kwake.

Najiuliza kwa nini hulainika na kuwa na heshima pindi wanapo zalishwa?
Mamako au shangazi watakupa majibu (ila wanisamehe kuwataja humu)
 
Back
Top Bottom