Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

sasa nyie madada zetu mnataka
mtuuwe tubebe mavyuma bila misosi tuanze kujazia upandwe mmoja mm bwana
sina kufua wala sina kitambi wala makalio nitakachofanya labda nipige
pushup maja maja kila siku mambo yakujiumiza vyuma vyuma sitoweza
na mtu akimchukua demu wangu namtegea tego msije mkasema
sijawambia

si lazima mwaya,coz c wote wanapenda hivyo
 
wanawake ni watu wakushangaza sana esp kwenye swala la love, yani anaweza akakupendea masikio yako tu!
BTW, kuna mdada aliniambia yeye anfagilia mwanaume mwembamba mrefu.
 
Mwanamke ukitaka dume lenye kifua kikubwa ujue na ww unyumba utapata dozi moja kwa mwezi, kwan kwa dume la namna hii nguvu zote za kiume zimekimbilia kifuani, mademu wengi wameingia mkenge wenye mtazamo huu wakijua kua wamepata kumbe wamepatikana.
 
mwanaume anasifika kumfikisha mwanamke kileleni na kumkocholesha mara nyingi.
I have got a certificate of appreciation on that matter!
 
mtoa mada wewe nakujua na nimfupi kama mfuko wa cementi,hoja uliyotoa itakuwa imekula kwako.

Zamani ulitamba sana na mwanamke wako asiyeliwa ovyo yule anayetoa utando mweupe.

teh he he he he! Baaasi, hapo hapo hapo we umemshika pabaya mleta udhiiiii.
 
mwanaume anasifika kumfikisha mwanamke kileleni na kumkocholesha mara nyingi.
I have got a certificate of appreciation on that matter!
waache waseme wenyewe, usiwasemee, kwasababu unajua kuna mambo mengi sana sisi wanaume huwa hatujijui ni nini wanawake wetu wanatufikiria hata kama wanatuonyesha kama wanatupenda, lakini kuna mambo ya ndani sana hawawezi kuyafichua kwako, hivyo hata kama unajisifia kuwafikisha sana, we waache wajimwage hapa wao wenyewe kwasababu wao ndio huwa wanavitaka vifua vya wanaume, ...labda kama na wewe unahitaji kifua cha mwanaume...

kwa wale wanadada walosifia vifua, leo sisi wenye vifua vikubwa na warefu wa wastan tutalala usingizi mnono na kujiamini kumeongezeka....senksi.

binafsi, kifua changu ni kipana kwa kuzaliwa, nikaongezea na jimu kimtindo, hivyo pamejaa lakini sio kama mabansa wa club bilicanas....ila ni kabansa kimtindo...ila kifua kipana...FURAHA YANGU HUWA NI PALE NINAPOMHUG MWANAMKE, hasa kama ni mwembamba anajaa hapa katikati ya kifua changu afu najisikia nammiliki sana, tukilala analalia kama mto kifua changu mimi huku nikimpapasa kidogokidogo, mara mgongoni, mattkni na kuchezea nembe etc...huku stori zikiendelea...hapo huwa naona raha..mwishoni tunamalizia kudoooo!.....
 
Naona umeamua kujifagilia mwenyewe..
Hongera bwana!!!!
 
mwanamme mwenye kifua kikubwa anafaa kubebea mizigo kama toroli.

Kichwa kinakuwa ndio tairi, mikoni vile vya kuwekea balansi, kifuani ndio unajaza mizigo, miguu ndio mishikio ya kuendeshea.

Kama unafuga kuku, ng'ombe kwa raha zako.
 
du!Kichwa Hiki!!??
 
karibu.....ni kweli.......wengi wetu tunawazimikia wanaume wa aina yako.....
kama ni hivyo upo kweli.....coz JF ni mwisho wa matatizo......
 
Hahahaaaaa Kongosho hebu kapike pilau tuje kula unatuvunja mbavu tu hapa

mwanamme mwenye kifua kikubwa anafaa kubebea mizigo kama toroli.

Kichwa kinakuwa ndio tairi, mikoni vile vya kuwekea balansi, kifuani ndio unajaza mizigo, miguu ndio mishikio ya kuendeshea.

Kama unafuga kuku, ng'ombe kwa raha zako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom