Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Wanawake watanipa jibu..kwanini huwa mnavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa,Misuli misuli.
Je hao ndo wako fiti kila idara au ni mtazamo wenu kwa mahitaji yenu.
 
wakali wa haya mambo watakuja, naona wapo bize kwenye xclusive interview na mexence melo!
 
Misuli misuli isizidi, iwe ya wastani raha akikukumbatia, ujilaze kifuani kwake n.k ila misuli ikizidi (mfano mabausa), anakua na mimisuli mikubwa huku dushelele inasinyaa na kuwa kibamia, nani anataka.....

umefinish kila kitu.....
 
Mimi sina kifua wala mamisuli ila mzigo jikoni upo mbona wadada wana ni feel tu???
 
Back
Top Bottom