Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,784
- 11,801
Makofi tena???
Unaitia gari kwenye mawe nisikupige makofi nisubiri nini
Usipokua mkali utapeleka gari garage kila sikuNdivyo nilivyokufundisha kukanyaga clutch? hebu kanyaka hadi mwisho ala!, nimekwambia kanyaga mafuta taratibu, unaangalia wapi? hebu tazama barabara na sio watu pumba*v zako wewe... mara ghafla kofi pwaaaaaa!
utakuwa una mtia makofiZinduna hujambo? Kama unataka kufundishwa gari ni-pm.... Usiogope makofi
Ha ha ha haaaaa, naja Nyerere Day ujue.
Safari hii simtaki tena yule babu mwenzio kawa bahili ka nini, nampotezea, tukutane pale facebook
Mzee Mtambuzi asisome hapa
Sasa kama mko barabarani na kuna lori mbele, halafu anakanyagia accelarator badala ya breki nimpige busu? Hapo ni konzi tu atakula!Dada yangu kanilalamikia kwamba mumewe akimfundisha kuendesha gari huwa anamlabua makofi kila akikosea na anakuwa na lugha kali sana wakati akitoa maelekezo, lakini pia nimewahi kuwasikia baadhi ya wanawake wakisema ni heri kwenda driving school kuliko kufundishwa kuendesha gari na waume zao kutokana na kukaripiwa wakati wakifundishwa pale wanapokosea na kulabuliwa makofi.
Je, wanaume tuhuma hizi zina ukweli?
mie huwa sielewi mwanamke unapigwa bado upo tu! mie wangu alianza mazoea ya kunikaripia nikamwambia ndugu kwa heri....mtu mwenyewe sura ka kitunguu halafu akae ananikaripia mtoto wa mwenzio hell NO!
Acha kuwapotosha wenzako wewe huna Mume waache walioolewa na ndoa zao.
Dada yangu kanilalamikia kwamba mumewe akimfundisha kuendesha gari huwa anamlabua makofi kila akikosea na anakuwa na lugha kali sana wakati akitoa maelekezo, lakini pia nimewahi kuwasikia baadhi ya wanawake wakisema ni heri kwenda driving school kuliko kufundishwa kuendesha gari na waume zao kutokana na kukaripiwa wakati wakifundishwa pale wanapokosea na kulabuliwa makofi.
Je, wanaume tuhuma hizi zina ukweli?