Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

Ulisha hesabu tuko wangapi duniani hadi kusema wengi wanapendwa lelewa?
Sema uliokutana nao ndio wanapenda lelewa sio wengi
 
wengi sana me karibu wote niliokutana nao hata mwenye kazi mpaka nikaamua kuishi bila kuhusiana na any
 
hoja sio kuhisabiwa swala ni kwamba asilimia kubwa ya vijana sa hivi ndicho wanachotaka tingefanya sensa hapa wadada wakafunguka ungejua ni wengi wanapenda kuwa kama sisi
 
Umegeneralize sana aisee..
Hao wengi wewe umewaona wapi??
Hebu njoo na facts ili tukujibu..vinginevyo unakuwa kama unaguess tu!!
 
Mnahusiana na watoto wa watu, mnadhani mmekutana na wanaume..sifa kubwa ya mwanaume ni kuwa provider,..mimi nasikia raha sana wale wanaonitegemea wanapokuwa materially satisfied,..A man z gotta be like that..
 
Lol, wanajikausha hapa kukwepa kukujibu.
Nina theories 2
1- kuna genetic disorder inaharibu gene pool
2- maisha yamekuwa magumu sana, kuna scarce resource na matumizi ya wanawake wa siku hizi yamezidi. So wanaume wa siku hizi hawawezi kuendelea kujilea na kulea familia zao. Zamani mwanaume akileta kitenge cha morogoro tu na chachacha na shanti mama anakenua. Siku hizi lace wig, mkorogo, gari, nyumba, jenereta, sijui maskuli bus! Baba wa watu awezee wapi jamani?

Note: kumnunulia mpenzio vitu na kumpa treat sio kumlea. Wanawake tuna silika ya uchoyo na kujihesabia haki ya kutunzwa kila wakati bila kusoma alama za nyakati.
 
Mmmh.. Hata mie nilishakutana na mmoja wa hawa wanaume wenye kupenda kulelewa.. Utasikia Baby nimesahau ATM Card yangu lipia tuu wewe hii bill.. Sasa sio mara moja, leo atakwambia kasahau wallet kesho amesahau ATM card..! Mara siku nyingine anaomba umkopeshe pesa.. Duuh, ukimkopesha ndio imetoka..! Lol..! Aaah... Hayo mapenzi yalinishinda..!
 
wa hivyo si wanaume ni migume gume iliyovaa sarawili, dume zima linakinga mkono kwa mwanamke, ovyooooo
 
Lol, wanajikausha hapa kukwepa kukujibu.
Nina theories 2
1- kuna genetic disorder inaharibu gene pool
2- maisha yamekuwa magumu sana, kuna scarce resource na matumizi ya wanawake wa siku hizi yamezidi. So wanaume wa siku hizi hawawezi kuendelea kujilea na kulea familia zao. Zamani mwanaume akileta kitenge cha morogoro tu na chachacha na shanti mama anakenua. Siku hizi lace wig, mkorogo, gari, nyumba, jenereta, sijui maskuli bus! Baba wa watu awezee wapi jamani?

Note: kumnunulia mpenzio vitu na kumpa treat sio kumlea. Wanawake tuna silika ya uchoyo na kujihesabia haki ya kutunzwa kila wakati bila kusoma alama za nyakati.

Me love youuuu
 
Majibu pls.

Mimi sijawahim kulelewa. hakuna atakayenilea maana kigezo cha kwanza ni mdada awe na standard ninazotaka. Kama anahela zake fine...sikubaliani na hoja ya kulelewa kama kigezo cha kumkubali mdada atakayenitaka. Hiyo haipo!
 
Mmmh.. Hata mie nilishakutana na mmoja wa hawa wanaume wenye kupenda kulelewa.. Utasikia Baby nimesahau ATM Card yangu lipia tuu wewe hii bill.. Sasa sio mara moja, leo atakwambia kasahau wallet kesho amesahau ATM card..! Mara siku nyingine anaomba umkopeshe pesa.. Duuh, ukimkopesha ndio imetoka..! Lol..! Aaah... Hayo mapenzi yalinishinda..!

Sasa hayo yote mbona ni maisha tuu.......hakina jema alowahi kukufanya......sorry kukufanyia
 
Sasa hayo yote mbona ni maisha tuu.......hakina jema alowahi kukufanya......sorry kukufanyia

Aaaah... Tunaongelea baadhi ya wanaume kupenda kulelewa... Kama suala ni kunifanyia jema hata mie mema mengi nilimfanyia...! Ila suala la kunigeuza mie ATM machine kila siku lilinishinda..!
 
Aaaah... Tunaongelea baadhi ya wanaume kupenda kulelewa... Kama suala ni kunifanyia jema hata mie mema mengi nilimfanyia...! Ila suala la kunigeuza mie ATM machine kila siku lilinishinda..!

Your signature banaaa.....tells it all!!!! So kwako mamii hata mtu akisahau ni kupenda kulelewa????
Mmekula wote we ukalipa tayari ushamlea hapo????

Au ndo tally system kila ukirudi una check ngapi katoa yeye na ngapi umetoa wewe???

We ni muhasibu mzuri sana......CPA grade??????
 
Ukipenda Masharobaro lazimA ulipiee...so wanawake mkiwa selective ndo mnapata hayo Makoroma Maryoo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom