Kwanini Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) ni Wagumu 'Kurogeka' na Wanawake kama wa Mikoa mingine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,580
108,931
Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi.

Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) huwa haturogeki na hata Wanawake zetu / Wapenzi wetu wakiwaza tu kwenda Kuturoga huingiwa na Uwoga na hatimaye kuwa tu Wapole na kutuachia Utawala katika Nyumba na Mahusiano yetu?

Natamani mno Kurogwa na Mpenzi.
 
Kiungwana tu nakupa masaa 24 ufute kauli yako, ya kwamba sisi, waha, wanaume wa shoka wa kigoma, ni washamba na tunalogwa na wake zetu.
 
Ungekua umeajiriwa ningesema unafuraha kwakua mwisho wa mwezi umekaribia,, lakini hizi zote ni dalili za mtu aliyerogwa, ndomaana umeandika upuuzi ka huu...
 
Uhalisia uchawi haupo. Ni mchezo wa kisaikolojia tu kumfanya mtu awe na imani kwamba uchawi upo na una nguvu
Uchawi Upo na hata vitabu vitakatifu vina tuthibitishia hilo.

"Wakawapitisha watoto wao, waume na wake, motoni, wakapiga ramli, wakafanya uchawi, wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, hata kumkasirisha"

2 Wafalme 17:17
 
Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi.

Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) huwa haturogeki na hata Wanawake zetu / Wapenzi wetu wakiwaza tu kwenda Kuturoga huingiwa na Uwoga na hatimaye kuwa tu Wapole na kutuachia Utawala katika Nyumba na Mahusiano yetu?

Natamani mno Kurogwa na Mpenzi.
Mkuu... Ni wewe kweli umeandika? 😂
 
Uchawi Upo na hata vitabu vitakatifu vina tuthibitishia hilo.

"Wakawapitisha watoto wao, waume na wake, motoni, wakapiga ramli, wakafanya uchawi, wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, hata kumkasirisha"

2 Wafalme 17:17

Vitabu vitakatifu vimeandikwa na watu kama mimi na wewe maelfu ya miaka iliyopita. Wakati wanaandika katika zama za giza uelewa wa watu ulikuwa mdogo sana.

Hata sheria za zamani za ulaya na marekani kulikuwa na hukumu za wachawi mahakamani.

Ila baada ya kugundua uchawi haupo. Hizo sheria zimefutwa hakuna kesi za wachawi tena mahakamani.

Uchawi ni imani za kisaikolojia tu.
 
Wachawi Wana nguvu ya kuziingilia mamlaka wakapitisha au kuondoa ajenda zao.
Kesi study ni mbio za mwenge
 
Vitabu vitakatifu vimeandikwa na watu kama mimi na wewe maelfu ya miaka iliyopita. Wakati wanaandika katika zama za giza uelewa wa watu ulikuwa mdogo sana.

Hata sheria za zamani za ulaya na marekani kulikuwa na hukumu za wachawi mahakamani.

Ila baada ya kugundua uchawi haupo. Hizo sheria zimefutwa hakuna kesi za wachawi tena mahakamani.

Uchawi ni imani za kisaikolojia tu.
Yaonekana bado hujui kuwa hujui kama uchawi Upo. Ipo Siku utajua !!
 
Yaonekana bado hujui kuwa hujui kama uchawi Upo. Upo Siku utajua !!

Kwa umri wote huu nilionao useme kuna siku nitajua.

Narudia tena uchawi haupo ila imani za kuamini uchawi zipo kwa wajinga wengi kama wewe.

Hizi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi. Zamani magonjwa yote yalihusishwa na uchawi. Hata wazungu walikuwa hivyo nyakati za giza.

Tunaambiwa kuna wachawi wa chuma ulete,, kama kuna wachawi wenye uwezo mkubwa nataka waende Bank wakaibe pesa kichawi. Kwanini wanashindwa.?
 
Yaonekana bado hujui kuwa hujui kama uchawi Upo. Upo Siku utajua !!

uchawi ungekuwa unafanya kazi dunia isingekua sehemu salama ya kuishi, kwasababu ukimzingua mtu kidogo tu ushamrog(zaidi ya 50% population wangekuwa vichaa), mabenki yangekuwa yanatangaza hasara tu kilasiku kwasababu ya chumaulete, wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao(kumbe wamepaa na ungo kwenda kwenye nchi badala ya kutumia njia hatarishi ya mahi)
 
Back
Top Bottom