vita ni vita1
Member
- Mar 19, 2013
- 73
- 17
inaitwa mtama kwa watoto kwa kifupi wanakuwa wanajiuwa nin mwanamke anataka
Si anakuwa ananukia K K hivi na kama unavyojua na wao wanayo hivyo anakuwa kama mwenzao hivi!!
Hivi kwa nini mwanaume akiwa malaya kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Je kuna harufu huwa ananukia inayowavutia? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia. Hivi kwa nini kina dada?
Unauliza makofi polisi kweli? Sababu wanakuwa na uzoefu endelevu.
Kwa nini wanaopewa nafasi za u-CEO ni wale wenye eksipiriensi sana? Kifupi wanaume malaya sana ni ma-CEO wa mapenzi.
Hivi kwa nini mwanaume akiwa malaya kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Je kuna harufu huwa ananukia inayowavutia? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia. Hivi kwa nini kina dada?
Hata mimi nashangaa. Sisi wapole hatupendwi. Amani kwa white girl anaye nipa furaha duniani.
Konnie wewe unamtaka yupi?Unauliza makofi polisi kweli? Sababu wanakuwa na uzoefu endelevu.
Kwa nini wanaopewa nafasi za u-CEO ni wale wenye eksipiriensi sana? Kifupi wanaume malaya sana ni ma-CEO wa mapenzi.
Hahahah ahsante kwa jibu zuri, secretary wangu mtiifu.
Konnie wewe unamtaka yupi?
Nashangaa vijana wa sasa, 1+1= ?, anahangaika kutafuta foo figa table na slide rule
Kuna ile dhana ya kuwa anayependwa na wengi au kufuatwa sana basi lazima atakuwa anajuwa kuishughurikia K ki-haswaaaaa.... na wanawake shida yao kubwa ni kunyumbuliwa hadi wanyumbuke.... Kuna mmoja humu MMU alidhasema, raha ya mwanamke akorogwe akoregeke...Hivi kwa nini mwanaume akiwa malaya kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Je kuna harufu huwa ananukia inayowavutia? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia. Hivi kwa nini kina dada?
Tena na hao masharobaro kama avatar yako ndo hamnaga kitu kabisaaaa... Kutwa kucha kula piza baga, ukimwambia ale dafu issuee..... lakini wanapenda kuwa na mademu wazuri hao wa kupigia picha....Hata mimi nashangaa. Sisi wapole hatupendwi. Amani kwa white girl anaye nipa furaha duniani.
Kuna ile dhana ya kuwa anayependwa na wengi au kufuatwa sana basi lazima atakuwa anajuwa kuishughurikia K ki-haswaaaaa.... na wanawake shida yao kubwa ni kunyumbuliwa hadi wanyumbuke.... Kuna mmoja humu MMU alidhasema, raha ya mwanamke akorogwe akoregeke...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini walisha ngombe, kuku, wafanya usafi ndo huwa wanawachukuwa wake wa wakubwa serikalini..???