Kwanini wanajeshi na Polisi hawalipi nauli?

Sipingi utetezi wako lakini ni utetezi mwepesi sana. Kila kazi ya mtu ina heshima kwakuwa ina mchango katika nchi hii. Hao askari wanapewa upendeleo huo sio kwasababu eti wameapa kufa kuilinda nchi, bali ndio wanaolinda mamlaka ya watawala. Ukiangalia hizo sekta nyingi hata kama ni muhimu watawala hawazijali sana kwani hizina uhusiano wa moja kwa moja na wewe kukaa madarakani kwa amani. Sasa watawala kwakuwa wengi wanalipwa hela nyingi kuliko hao wanaowalinda, ndio unaona wanawapunguzia ugumu wa maisha kwa kutunga sheria ya upendeleo. Kwa mfano toka baada ya vita vya Iddi Amini ni vita gani nyingine iliyolazimu hao wanajeshi wetu kuonekana wanaifia nchi?

Hao wanajeshi wanapata upendeleo wa wazi hata kwenye maisha ya kawaida sio kwa kuwa ni walinzi wa nchi bali ni walinzi wa watawala. Kila mara nashauri hilo jeshi letu wakati huu wa amani ni bora wangeshiriki kwenye uzalishaji mali hasa kwa serekali kuwapa pembejeo za kilimo, ili walime mashamba makubwa na kuzalisha chakula kitakachokaa kwenye maghali ya serekali ili kupambana na njaa, na sisi wakulima tuachwe tuuze kokote duniani bila usumbufu. Mambo ya kutaka wapakie magari bure eti wanaenda kazini huku hakuna uzalishaji wowote mkubwa na hakuna vita ni kutotundea haki walipa kodi wengine na kutowatendea haki wanajeshi wenyewe.
Mwambie mbunge wako akienda bungeni awatete budget yao iwe kubwa waweze kuongeza magari yao wasipande daladala
 
Mkuu mimi hata sishangai, unakuta mtu kama waziri anapata mshahara wa zaidi ya 20m@month lakini anakaa nyumba, ya bure huduma kama umeme, maji na mlinzi analipiwa na serekali. Wakienda hata sehemu za burudani wanaingia bure, kibaya zaidi hata wapambe wanaokuwa nao pia wanaingia bure. Halafu eti wanasimama mbele ya watu pila aibu wanasema wamejitolea kupigania wanyonge. Pumbavu kabisa unapata mshahara wote huo na huduma za bure kisha unasema umejitolea kupigania wanyonge!?
hiyo ndio faida ya polifiksi
 
Sipingi utetezi wako lakini ni utetezi mwepesi sana. Kila kazi ya mtu ina heshima kwakuwa ina mchango katika nchi hii. Hao askari wanapewa upendeleo huo sio kwasababu eti wameapa kufa kuilinda nchi, bali ndio wanaolinda mamlaka ya watawala. Ukiangalia hizo sekta nyingi hata kama ni muhimu watawala hawazijali sana kwani hizina uhusiano wa moja kwa moja na wewe kukaa madarakani kwa amani. Sasa watawala kwakuwa wengi wanalipwa hela nyingi kuliko hao wanaowalinda, ndio unaona wanawapunguzia ugumu wa maisha kwa kutunga sheria ya upendeleo. Kwa mfano toka baada ya vita vya Iddi Amini ni vita gani nyingine iliyolazimu hao wanajeshi wetu kuonekana wanaifia nchi?

Hao wanajeshi wanapata upendeleo wa wazi hata kwenye maisha ya kawaida sio kwa kuwa ni walinzi wa nchi bali ni walinzi wa watawala. Kila mara nashauri hilo jeshi letu wakati huu wa amani ni bora wangeshiriki kwenye uzalishaji mali hasa kwa serekali kuwapa pembejeo za kilimo, ili walime mashamba makubwa na kuzalisha chakula kitakachokaa kwenye maghali ya serekali ili kupambana na njaa, na sisi wakulima tuachwe tuuze kokote duniani bila usumbufu. Mambo ya kutaka wapakie magari bure eti wanaenda kazini huku hakuna uzalishaji wowote mkubwa na hakuna vita ni kutotundea haki walipa kodi wengine na kutowatendea haki wanajeshi wenyewe.
mkuu umenifikirisha sana heko
 
Polisi na wanajeshi ni watumishi kama watumishi wengine. Wakati mwingine wao wanalipwa mishahara mikubwa na marupurupu mengi kuliko watumishi wengine.
Swali langu ni kuwa kwanini watu hawa wanasafiri bure hasa kwenye madalalada? Lengo la kuwafanya wasafiri bure ninini?
Je lengo ni kuwamotisha? Mbona huduma nyingine wanalipa?
Ni kuwazubaisha? Ili waone wanapendelewa huku haki zao zikibinywa?
Inakuaje wanafunzi ambao hawaingizi kipato chochote walipe nauli na wanajeshi wanaolipwa mishara wasilipe nauli? Hii ni sawa kweli?
Umewasahau na walimu wanapanda bure kwenye daladala, sijui kwanini wenye daladala wanaonewa kiasi hiki
 
Sipingi utetezi wako lakini ni utetezi mwepesi sana. Kila kazi ya mtu ina heshima kwakuwa ina mchango katika nchi hii. Hao askari wanapewa upendeleo huo sio kwasababu eti wameapa kufa kuilinda nchi, bali ndio wanaolinda mamlaka ya watawala. Ukiangalia hizo sekta nyingi hata kama ni muhimu watawala hawazijali sana kwani hizina uhusiano wa moja kwa moja na wewe kukaa madarakani kwa amani. Sasa watawala kwakuwa wengi wanalipwa hela nyingi kuliko hao wanaowalinda, ndio unaona wanawapunguzia ugumu wa maisha kwa kutunga sheria ya upendeleo. Kwa mfano toka baada ya vita vya Iddi Amini ni vita gani nyingine iliyolazimu hao wanajeshi wetu kuonekana wanaifia nchi?

Hao wanajeshi wanapata upendeleo wa wazi hata kwenye maisha ya kawaida sio kwa kuwa ni walinzi wa nchi bali ni walinzi wa watawala. Kila mara nashauri hilo jeshi letu wakati huu wa amani ni bora wangeshiriki kwenye uzalishaji mali hasa kwa serekali kuwapa pembejeo za kilimo, ili walime mashamba makubwa na kuzalisha chakula kitakachokaa kwenye maghali ya serekali ili kupambana na njaa, na sisi wakulima tuachwe tuuze kokote duniani bila usumbufu. Mambo ya kutaka wapakie magari bure eti wanaenda kazini huku hakuna uzalishaji wowote mkubwa na hakuna vita ni kutotundea haki walipa kodi wengine na kutowatendea haki wanajeshi wenyewe.
Umesema ukweli kabisa hasa kwa wanajeshi bora polisi na vikosi vingine vinapiga kazi inaoneka na maisha yao yapo hatarini maana wanapambana na majambazi kila kuliko hao JWTZ ambao kazi yao ni mazoezi tu.
 
Nimeisoma hii kwa dalubini kali..iko poa sna nakufuata pm
 
Anaedai kuna kazi muhimu, ana upungufu wa kufikiri. Fani ni muhimu kwa wakati wake. Ukidharau fani ya kuzibua vyoo na mitaro, utaithamini kitakapozuka kipindupindu. Askari kutolipa nauli ri kuwakweza, ni kuwadhalilisha.
 
Kwanza hakuna sheria inayowaruhusu hao Jamaa kusafiri Bure, Kwa Mtazamo wangu sasa juu ya swali lako Polisi au Wanajeshi Huwa wanapokuwa na Sare zao mara nyingi jamii ina wa treat vizuri ata bank au maeneo mengi ni ngumu kumkuta askari Amepanga foleni na Gwanda lake, Vuta picha askari anawahi tukio na hana pesa mfukoni itakuwaje?
Sema kuna madogo wa Suma Jkt nao wameanza kuambukizwa haka katabia ila wakikutana na konda mkali huwa wanakiona cha moto
 
General Forums
Mwambie mbunge wako akienda bungeni awatete budget yao iwe kubwa waweze kuongeza magari yao wasipande daladala

Wapinzani wameshapiga kelele sana kuhusu kuboresha malipo ya wanausalama wetu. Kinachoendelea hapo katikati serekali ndio inajua.
 
Huwa naona wanasheria wa Tanzania ni wazito sana kufikisha mashitaka mahakamani kupinga mambo ambayo yananyanyasa wafanyabiashara. Inshu hii wakiipinga kisheria natumaini watafanikiwa. Mtu hufanya kazi kwa hiari na kwa kupokea stahiki alikubaliana. Kutokulipwa ktk kazi ni sawa na kufanyishwa kazi kwa lazima.
 
Umesema ukweli kabisa hasa kwa wanajeshi bora polisi na vikosi vingine vinapiga kazi inaoneka na maisha yao yapo hatarini maana wanapambana na majambazi kila kuliko hao JWTZ ambao kazi yao ni mazoezi tu.
JW ndio wanalinda mipaka yetu, JW ndio Wapo mataifa mengine kwa ajili ya mission tough, Nchi imetulia pia kwa vile tunajeshi imara hakuna wa kugusa, Uache kusema wanachukua tu mazoezi hao Wapo na wanafanya kazi kubwa pakitokea Vita ndio utajua umuhimu wa jeshi
Jeshi limetawaliwa na Usiri kuna covert mission nyingi sana za kuhakikisha Taifa linakuwa na Amani Jeshi wanafanya
 
Back
Top Bottom