drmkumba
Member
- Dec 27, 2010
- 52
- 1
Akiwa ziarani mkoani Rukwa waziri mkuu amekemea tabia za halmashahuri nchini kuchelewesha malipo ya mishahara na madai mengine ya walimu.Kwakweli taaluma ya ualimu inakatisha tamaa.Je ni kwanini walimu ambao ni chimbuko la wataalam wote duniani hapa kwetu wasithaminiwe? Kwa staili hii tunachakachua elimu.Je tutafika?