Kwanini waislam wengi wanataka rais ajaye atoke Zanzibar?

Status
Not open for further replies.
Ni hisia za udini!Hatima ya rais ajaye kwa kiasi kikubwa ipo mikononi mwa watanganyika!kinachoweza kufanywa na CCM ni kuchagua presidential candidate kutoka Zanzibar,suala la urais ni suala nyeti na lipo mikononi mwa watanganyika!
 
Utafiti nilioufanya umebaini hilo. Naombeni na maoni yenu!

Kwa sababu kiukweli hii ni zamu ya wazanzibari,nadhani waislam na wapenda haki na wapenda muungano wote wanatetea haki ya wazanzibari dhidi ya dhulma ya wa bara!

wameonewa sana wameskitika sana sasa wanaitaka haki yao..
 
wamechoka kuwa na makamu ambaye kazi yake kuwa ni kufungua majengo na semina tu kwa kipindi chote cha awamu mbili za mwisho za utawala wa tanganyika
 
Tulipofikia ni bora na sisi watanganyika tuwe na rais wetu. Mbona wana rais wao sisi hatuongei?
 
Kwa mujibu wa katiba yao mpya rais wa tanzania ana madaraka madogo sana kwao na akiwa zanzibar ni kama mgeni, you see teuzi zote kwa upande wa zenji anafanya rais wa zenji, sasa wanataka rais wa muungano atoke kwao ili mzanzibar atawale tanzania bara? Basi kama ni hivyo na rais wa zanzibar wa awamu ijayo atoke tanzania bara aka tanganyika. Otherwise wapemba wote dar es salaam na sehem nyingine wafungashe virago warudi kwao, tuwanyime umeme wetu, tuwakate kodi vyakula vyetu na sukari na uwe mwisho wa muungano.
 
sina hakika kama mgombea 2015 akitokea zanzibar nadhani upinzani watachukua nchi ila 2025 iwapo atatokea zanzibar wanaweza wakachukua...
 
Ndio maana kanisa linawapigia chapuo LOWASA au SLAA
Sisi waafrika tutambue kwamba hizi dini tulizonazo zimeletwa na wageni kutoka nje ya bara letu. Amini usiamini hawakutuletea dini hizi ili tufike mbinguni. Ni ujinga uliotukuka kupokea utaratibu wa maisha wa kiimani(dini) kutoka kwa wageni halafu ukajiona umepatia na kumtenga ndugu yako aliyechukua utaratibu tofauti na wako.

"Mnachekesha" by Faizafox
 
Mkuu unataka kusema waislam wanataka Rais ajaye atoke Zenji kwasababu piga uwa atakuwa muislam?

I hope thats not what you ment.
 
Kwa sababu kiukweli hii ni zamu ya wazanzibari,nadhani waislam na wapenda haki na wapenda muungano wote wanatetea haki ya wazanzibari dhidi ya dhulma ya wa bara!

wameonewa sana wameskitika sana sasa wanaitaka haki yao..

Wewe una malaria sugu, tena ya uti wa mgongo. Na watu wa bara pia huoni kuwa ni zamu yao kuwa na rais zanzibar?
 
zanzibar wamejaa waislam kwa hiyo ni neema kwa waislam kupata mwislam mwenzao, lakini mie najiuliza tena watanganyika kweli mambumbumbumbu, wenzetu hawakubali mtanganyika akae ikulu ya zenji ila nyinyi mnachekacheka tu oh kweli zamu yao waje magogoni. mtikila uko wapi ?
 
kwa sababu kiukweli hii ni zamu ya wazanzibari,nadhani waislam na wapenda haki na wapenda muungano wote wanatetea haki ya wazanzibari dhidi ya dhulma ya wa bara!

Wameonewa sana wameskitika sana sasa wanaitaka haki yao..

haki yao ipi? Ya kutawala watanganyika? Mbona sisi hatuwatawali? Waende zao huko, kwanzo ndo wapinga muungano lakini pia ndo wanufaika wa muungano. Mie siwapendi
 
wamechoka kuwa na makamu ambaye kazi yake kuwa ni kufungua majengo na semina tu kwa kipindi chote cha awamu mbili za mwisho za utawala wa tanganyika

na kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za idd
 
Mie nawasikitikia watu wanaoshobokea dini na wanaacha kujitambua utaifa wao. Jamani ikulu ya zanzibar ni ya wazenji wenyewe na magogoni ni ya watanganyika, dini zililetwa na waarab na wazungu, lakini tanganyika ameileta mwenyewe pamoja na madini milima maziwa mito wanyama na uoto wa asili ili watawale watanganyika sio wazenji jamani. Muumba wao amewapatia karafuu sio tule sisi. Hivi mtanganyika umewahi kujiuliza kwa nini vyao ni vyao na vyetu ni vyao, muumba aliona vyote alivyoviumba ni vyema akatenganisha zanzibar na tanganyika kwa bahari. Alivyotenganisha muumbaji mwanadam kamwe usiviunganishe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom