Kwanini viongozi wetu wanapenda sifa?

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Ktk kuonyesha kwamba viongozi wengi wa ccm wako karibu na vijana wamekuwa wanapishana nyumbani kwa steven kanumba. Je hii ni dalili kwamba wanajaribu kujiweka karibu na vijana ili waonekane kwamba wanawapenda vijana? Naona kama wanapoteza muda, kama mnampenda sana mngeweka basi kesho kusiwe na kazi.
Vijana msidanganyike na hawa wapenda sifa, mbona kwa mzee kipara hawakuja kwani hakuwa msanii?.
 
Back
Top Bottom