Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 802
- 3,051
Kiukweli inatafakarisha sana kuona vijana wa kitanzania wanashindwa kung'amua maswala mbali mbali yenye mustakabali mzuri kwa nchi na dunia.
Vijana wengi wa miaka ya 2000 wanavichwa empty (kichwani zero), hakuna creativity just umbea umbea, fashion na Kutamani mafanikio ya haraka bila kujishughulisha (tamaa)
Wakati the 1990s wanajadili katiba, transformation ya mitaala ya elimu, wanareason na kuumiza kichwa sana kuhusu maisha na pia wako interested sana na political change & transformation, 2000s wako mbali sana na hivi vitu na wanavijadili kwa wepesi kama haviwahusu.
Nakumbuka the 1980s walikuwa focused sana wengi walikosa elimu lakini mawazo na mipango yao ili make sense sana.
Nini kinaenda kutokea kwenye politics, economy, na culture? Je, Mabeberu watatumia gap la vijana empty headed kutunyonya zaidi?
Je watakuja kutokea wakina Nyerere, Magufuli, Kikwete, benja, Lissu, Zitto, Slaa, Mbowe, Maalim, mdee, na wengine?