Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,638
Nimegundua nowdays sio kama enzi za wazazi wetu yani watoto hasa wa kiume hawataki kuoa kabisaa ispokuwa wachache yani vijana wako radhi kubanjuka kila baada ya wiki katika malodge na mahotel lakini ikifika issue ni kuoa not interested...hebu tujuzane wana jamvi kwanini? Kuna reasons najua lets discuss