Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hii Sijui fresh from School haikuwa na haja ya kuiandika, Unatuchoma sisi ambao tuna 5+ years since we graduated
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Asee hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika utumishi wako
 
Hongera Sana, ukawe Mtumishi mwema. Kada yangu pia tulifanya 04.10.2023 lakin bado placement haijatoka ngoja tuendelee kuwa na subira
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
 
ASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... 🤣.##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 🤣...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
 
Back
Top Bottom