Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?

Hata kama maadili yangekuwa yanaruhusu kuweka mambo ya ndani ya kiserikali kwenye mitandao ya kijamii halafu na mm nikawa kwenye nafasi ya kuyaweka nisingefanya hivyo.
Yaani changamoto za kuboresha huduma kwa wananchi inakuwa siri?Basi, inakula kwetu na usishangae tunapokuja na hoja hizi.
 
Yaani changamoto za kuboresha huduma kwa wananchi inakuwa siri?Basi, inakula kwetu na usishangae tunapokuja na hoja hizi.
Changamoto za ofisi yoyote na si za serikali tu ni jambo la kiofisi, linatatuliwa na wenye dhamana ya ofisi na si jumuiya. Wananchi ni haki yetu kutoa malalamiko ya changamoto tunazopitia ili wahusika wapate taarifa na waangalie uwezekano wa kutatua lakini si sawa kwa ofisi kuweka kwenye jamii changamoto za ndani ya ofisi.
 
Acha uongo wewe , vipi mtu mwenye kampuni ila faida Yake kwa mWaka Ni chini ya milion 14 na anafanya kazi ya kuhudumia kampuni au mashirika , kumbuka kigezo Cha kufanya kazi na kampuni zingine au mashirika na taasisi ya serikali inabidi uwe na EFD machine. Hapo utafanyaje?
Mkuu kabla hujaquote, angalia nn unaquote na ww unataka kupinga au kuongeza nn. Jamaa kasema mapato ya miln14 kwa mwaka na sio FAIDA. na sheria ndio iko hivyo kwa wafanyabiashara ambao wanaingiza mapato ghafi ya kufikia 14M kwenda juu wanatakiwa kuwa na mashine ya EFD. Makampuni ni lazima uwe na mashine hiyo kwa kuwa mzunguko wa bishara lazima ufikie hiyo amount. Nyongeza yake kuna nature ya biashara fulani lazma uwe na mashine ya EFD kutokana na mazingira halisi mfano wauza MBAO. Hivyo basi ww pamoja na wengine ambao bila fact mpo kwa ajili ya kupinga na sio kuleta mawazo chanya mnafaa mjitathmini na mjue kuwa huu ni mjadala wenye kulenga kufikia sehemu fulani hivyo hatubishani.
 
Sijui hata umeelewa nilichoandika, nasijui umetumia vigezo gani kusema Mimi napinga kila kitu.

Kwa mfano regardless of capital au profits made ukiwa na kampuni ya usafi Hakuna kazi utapata Kama huna EDF machine. Hakuna taasisi itakupa kazi na hauna EFD. Ninaongea hili kwa experience lakini sio kampuni zote zina huo uwezo .
 
Yes ila bank ukifanya kosa ukaibiwa pesa yako hilo si jukumu lao ni lako.

Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software.

Inawezekana sana, ila si jambo la kukurupuka. Inahitaji kutulia na uwe na It wenye akili sana.
Fundi mangungu acha kupotosha!
 
This is a solution looking for a problem, at least at the moment and the way it is presented in this thread.

If the problem is cost ya EFD then solution ni lowering or subsidizing the cost or rent them. if it's supply then more authorized suppliers can be added. Both could potentially(personal opinion) be cost efficient than proposed solution.

At the end of the day I think it's a cultural/institutional problem, if one doesn't want to pay taxes they will find ways/excuses, and if you don't ask for receipt you are part of the problem. In the long run we'll have to move to such systems though.
 
Problem sio cost tu. It is also the ease of having the machine and using it. Why should I go to few selected sellers for buying, configuring and repairing it? Except for the software, these should be commercially available products/services. And it is certainly not a solution looking for a problem,because the problems have been stated.
 
That's the point of a regulatory body, they have motivation to control the supply and maintainance of the machines to avoid tampering, counterfeit etc. The criticism iliyoletwa ni cost and supply/maintenance both can be resolved without involving software, and I believe cost efficiently than this suggested solution.
 
Upuuzi mwingine, ukishanunua basi, huwezi kumuuzia mtu yeyote ikiwa utafunga biashara na hutaki kuendelea tena. Nimeuliza kwa wale walioruhusiwa na TRA kuuza kama inawezekana ku configure machine upya kwa mtu mwingine akasema haiwezekani. Kwa hiyo ukinunua ni yako maishani ukiacha biashara mpe mtoto wako aichezee tu kama toy.
 
Haha dah nchi ngumu hii
 
Hapo una ki Tecno chako cha laki na nusu na printer ya shs 50,000 tu. Simu ikiharibika, unanunua ingine unafanya installation Kama WhatsApp vile, boom upo online huhitaji sijui kurudi TRA kufanya configuration. Yaani faida nyingi mno kuliko eti kuweka special vendor wa EFD machines.
Hiyo EFD nayo chanzo cha mapato
 
Mkuu TRA mfumo wao unaruhusu wewe kutengeneza application yako na kuunga kwao, hiyo ipo tayari na kampuni flani nilifanya kazi tulikuwa na system yetu ya hivyo.

Sema mapungufu yake bado lazima ununue mashine ya EFD ndiyo inafanyiwa configuration ya kukuunganisha na system yao ya TRA na kukutolea serial number fla ni zinazotokea kwenye report ya system yako kwenye risiti.

Hiyo rist unaweza kuprint softcopy tu si lazima hardcopy kwenye makaratasi.

Kwa hivyo wazo lako la kuondoa kabisa EFD machines ni zuri sababu hiyo mashine nayo ni aghari. Ila karatasi siyo lazima hata sasa labda kwa lengo la kuwaonesha wakaguzi njiani.
 
TRA is in a transition to upgrade VAT e-filing through newly introduced e – filing system.

Tentatively 2nd phase of VAT e-filing will come into effect from December 2020. However further notice will be issued by TRA.

Below are few points to note:

i. All tax payers have to be registered in the New E-filling system (if not already registered).

ii. With respect to VAT there will be a Coded Excel template that has different inter-linked excel sheets where details of suppliers i.e. Supplier name, VRN, Date, Exclusive amount, VAT amount and unique receipt Verification code (QR CODE) under standard rated supplies excel sheet, etc.

iii. All ETR and ESD machines need to be taken to your respective suppliers of EFD machine as soon as possible so that they can be upgraded or changed. The upgraded EFD machine will have EFD receipts with QR codes and unique receipt verification code for each receipt.

iv. It is compulsory for all EFD receipts to have buyer’s name, buyer’s TIN and buyer’s VRN.

v. The receipt verification code (QR CODE) will be directly linked to the TRA system and incase any wrong details are filled (wrong amount, wrong VRN etc) or the receipt is claimed twice the VAT return will be rejected and all the incorrect details submitted in the VAT return will be highlighted in RED so that they should be rectified accordingly.

My take: Kusingekuwa na haja ya haya yote eg kurudisha mashine kwa configuration au kununua ingine kama ingekuwa application based! Gharama za ziada kwa wafanya biashara.
 
Back
Top Bottom