Kwanini Tesha kakubali kugezwa Katuni wa Mwigulu?

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
860
Jamani wanajamvi naoma tusaidiane, huyu Tesha aliyekubali kuitwa Katuni wa Mwigulu anatumia muda mwingi kuzungushwa majukwaani badala ya kutafuta/tiwa tiba. Namuomba huyu Mwigulu Mchemba aache kabisa ukiukwaji wa haki za binadamu na amtafutie Tesha madaktari wa ngozi ili wamfanyie upasuaji na apone. Si vyema kabisa kumtembeza mtu hivyo, nawashangaa hata hao Polisi walioruhusu Mwigulu kumtumia hivyo wakati jana tu Kiwia kaenda na watoto wake kudai aonyeshwe mumewe alipo wanasema anavunja sheria. Haya ni maajabu ambayo yapo TZ tu.
 
Ukiendekeza njaa unaweza kukubali lolote hata kama linavua utu wako. Hujaona wale vijana wawili masalia wanavyojifedhehesha majukwaani kwa ajili ya mkate? Tena yule wa kike nasikia wanapasiana kama kiburudisho na yeye haoni taabu kugawa.

TOOBA YARABI!!!

Kwa hiyo jamaa wamemfanya SAFISHA RUNGU/ DEKIO sio?
 
Jamani wanajamvi naoma tusaidiane, huyu Tesha aliyekubali kuitwa Katuni wa Mwigulu anatumia muda mwingi kuzungushwa majukwaani badala ya kutafuta/tiwa tiba. Namuomba huyu Mwigulu Mchemba aache kabisa ukiukwaji wa haki za binadamu na amtafutie Tesha madaktari wa ngozi ili wamfanyie upasuaji na apone. Si vyema kabisa kumtembeza mtu hivyo, nawashangaa hata hao Polisi walioruhusu Mwigulu kumtumia hivyo wakati jana tu Kiwia kaenda na watoto wake kudai aonyeshwe mumewe alipo wanasema anavunja sheria. Haya ni maajabu ambayo yapo TZ tu.

Akipona wanammwagia tena ili aendelee kutisha. Vinginevyo watakosa cha kuongea wala kuonewa huruma.
 
Mwigulu anavunja sheria kuongozana na "kidhibiti" cha mahakama

DSC06673.JPG

Mjinga sana huyo kijana Tesha.... Hajui kuwa kikulacho ki nguoni mwake , atazinduka siku ujinga ukimuisha... Kwasasa acha Mwigulu aendelee kumtumia akimchoka atamrestisha in pisi ili kuua ushahidi wote! Chezeiya shetani Mwigulu yeye, asubiri aone
 
Mwigulu anavunja sheria kuongozana na "kidhibiti" cha mahakama

DSC06673.JPG

Mwigulu yuko juu ya sheria.... Najiuliza hivi ingekuwa ni yeye kamwagiwa angekuwa anajizungusha kama anavyomzungusha huyo kijana au angekuwa zake india kwa matibabu? Kwanini hawampeleki huyo kijana india akatibiwe? Ningejua inapopatikana tindikali ningejitolea kummwagia Mwigulu kwa jinsi nnavyomchukia huyo mbaba! Mungu anisamehe
 
Wajuvi wa sheria tujuzeni. Hii inakubalika kisheria kwa mwigulu kuranda majukwaani na huyo kijana ilhali kesi ipo mahakamani?
 
Ukiendekeza njaa unaweza kukubali lolote hata kama linavua utu wako. Hujaona wale vijana wawili masalia wanavyojifedhehesha majukwaani kwa ajili ya mkate? Tena yule wa kike nasikia wanapasiana kama kiburudisho na yeye haoni taabu kugawa.

Yero Chesea Mchagga weye? Huenda hiyo sura si yake ni KINYAGO!! Labda Meku Tesha anatafuta mtaji wa kuanzisha duka la Spea. "Money by all means...by Agoro Anduru"
 
Ukiendekeza njaa unaweza kukubali lolote hata kama linavua utu wako. Hujaona wale vijana wawili masalia wanavyojifedhehesha majukwaani kwa ajili ya mkate? Tena yule wa kike nasikia wanapasiana kama kiburudisho na yeye haoni taabu kugawa.

Nakubaliana na wewe. Njaa inaweza kumfanya mtu kuweka utu rehani.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
mwigulu yuko juu ya sheria.... Najiuliza hivi ingekuwa ni yeye kamwagiwa angekuwa anajizungusha kama anavyomzungusha huyo kijana au angekuwa zake india kwa matibabu? Kwanini hawampeleki huyo kijana india akatibiwe? Ningejua inapopatikana tindikali ningejitolea kummwagia mwigulu kwa jinsi nnavyomchukia huyo mbaba! Mungu anisamehe
dah HUWA SIJUI CCM WANAWAZA NINI KWAKWELI LAKINI KILA JAMBO LIN MWISHO WAKE
 
Jamani tuwe wakweli tumuogope mungu ccm tangia lini ina ubia na wachaga na inawachukia wachaga kama ukoma na ndio waliomfanyia hivi kijana wa watu kisa ni mchaga pole sana tesha
 
Back
Top Bottom