Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,339
5,574
Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini?

Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini?

Au kwa kuwa wanajenga kinyume na quality ya mwanzo ili wapige pesa ndo maana hawataki watu wasipige picha. Serikali tunataka maelezo
 
Ni kawaida hata Mtera ni marufuku kupiga picha
Ni rahisi sana kupiga picha nje ya Ikulu ya white house ila bongo hata kwenye mabasi ya mwendo kasi wanazuia.

Kama kuna jambo ambalo linaweza kukuza utalii wa ndani na nje ni kupiga picha kwenye iconic premises kama daraja; unaweza kukuta sheria za marufuku ziliwekwa wakati wa Nyerere wakati wa vuguvugu la ukombozi wa kusini mwa bara la Afrika ila mpaka leo akili za wafanya maamuzi wanachojua ni "marufuku"
 
Hakuna manufaa yoyote wanayoyaepuka kwa watu kujipiga picha kwenye hivyo vivuko, mtu mwenye nia mbaya na hivyo vivuko anaweza kuja na spy camera akaliga picha zale kila sehemu na wala wasimuone.
Teknolojia ipo juu sana tazama watu wanavyotumiwa drone na sehemu husika inafikika kwa kutumia internet sasa wakituamulia Sie ni wepesi sana tu.​
 
Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini?

Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini?

Au kwa kuwa wanajenga kinyume na quality ya mwanzo ili wapige pesa ndo maana hawataki watu wasipige picha. Serikali tunataka maelezo
Lengo ni kuzia Makaburu wasije wakapiga picha ili wakayasome na baadaye kuja kuyalipua. Si unajua Tanzania ndiyo nchi iliyo mstari wa mbele katika kusaidia nchi za kusini mwa Afrika katika kupigania Uhuru wao.
 
Hiyo taarifa ni kweli, hata pale ferry kwenye stand na ndani ya kivuko chenyewe nimarufuku, na mgambo wako makini na hilo.

Mgambo wanajisumbua wakati mambo yapo hadharani
1703516837349.png

View: https://m.youtube.com/watch?v=kPv0bfTuW4M
 
Back
Top Bottom