Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,162
- 1,166
Habari zenu waheshimiwa, napenda kuchukua fursa hii huru kuwasilisha swali ambalo nashindwa kulipatia majibu kwa kipindi kirefu, natumaini kwamba kwa busara na weledi wajukwaa hili nitaweza patiwa majibu sahihi. Hivi ni kwann serikali haichapishi pesa za kutosha na kudistribute kwny nyanja mbalimbali na kusolve its foreign debts.........??
Nawasilisha.
Nawasilisha.