Kwanini Serikali haichapishi pesa za kutosha?

Seawhale

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,149
1,150
Habari zenu waheshimiwa, napenda kuchukua fursa hii huru kuwasilisha swali ambalo nashindwa kulipatia majibu kwa kipindi kirefu, natumaini kwamba kwa busara na weledi wajukwaa hili nitaweza patiwa majibu sahihi. Hivi ni kwann serikali haichapishi pesa za kutosha na kudistribute kwny nyanja mbalimbali na kusolve its foreign debts.........??

Nawasilisha.
 
Kwa sababu ukichapisha noti unaongeza mfumuko wa bei, hivyo unakuwa haujafanya kitu, ingawaje USA ndiyo zao kuchapisha noti lkn wao unajua US Dollar ni World's currency hivyo wanaweza kufanya hivyo lkn kama TZ tukifanya hivyo itasababisha mfumuko wa bei mkubwa sana na hivyo kuwa sawa na kazi bure, njia pekee ya kutengeneza fedha kwenye nchi kama yetu ni uzalishaji, yaani tuwe na Viwanda vinavyozalisha, tuweze kuexport na hii ndiyo inaweza kutupa fedha!!
 
Pesa sio makaratasi yale muitayo Noti
Pess ni thamani ya kuuza na kununua
Kama thamani haipo hata ukichapisha ni makaratasi tu kwani huna cha kuingiza thamani

Pia kuchapa pesa ni gharama sana
 
Kwa sababu ukichapisha noti unaongeza mfumuko wa bei hivyo unakuwa haujafanya kitu, ingawaje USA ndiyo zao kuchapisha noti lkn wao unajua Dollar ni world currency hivyo wanaweza kufanya hivyo lkn kama TZ tukifanya hivyo itasababisha mfumuko wa bei mkubwa sana!
Mdau mimi co mtaalamu kama ww au lipumba kwny masuala ya uchumi, so it's better to elaborate your arguement on how it leds to inflation while we've enough......??
 
mto mada kuna swala la inflation..... unapaswa ulijue.

ila mtoa mada anachozungumzia ni kuwa kama tunadaiwa dolar bilioni tano kwanini tusichapishe noti na kwenda kulipa hilo deni? yaani zisiingizwe kwenye mzunguko
 
Pesa sio makaratasi yale muitayo Noti
Pess ni thamani ya kuuza na kununua
Kama thamani haipo hata ukichapisha ni makaratasi tu kwani huna cha kuingiza thamani

Pia kuchapa pesa ni gharama sana
Nakuelewa vizuri sana mhe, but thamani ya shilingi n nn hasa au tuna maana gani kwny hili,,,,??
 
mto mada kuna swala la inflation..... unapaswa ulijue.

ila mtoa mada anachozungumzia ni kuwa kama tunadaiwa dolar bilioni tano kwanini tusichapishe noti na kwenda kulipa hilo deni? yaani zisiingizwe kwenye mzunguko
Yeah it's jxt lik dat, but why we can't do that....??
 
Mdau mimi co mtaalamu kama ww au lipumba kwny masuala ya uchumi, so it's better to elaborate your arguement on how it leds to inflation while we've enough......??

Kwanza inabidi uelewe maana ya mfumuko wa bei, maana yake nini kama unaelewa tunaweza kuendelea kama haulewi ningekushauri uanzie hapo kwanza, vinginevyo ni kazi ngumu kuelezea uhusiano wa kuchapisha fedha na mfumuko wa bei!
 
Mambo ya mze wa ruksa,kwanza nchi sio kwamba ikijisikia wakati wowote inachapisha hela,benki ya dunia ndo mchapishaji mkubwa wa hela za duniani kote,ila inapobidi kwa kibali maalum wanaweza kuruhusu benki kuu ya nchi husika kuchapisha hela kiasi flani ila unachapisha kutokana na uchumi wako na mzunguko wa hela,usije ukasababisha mfumuko wa bei maana kila mtu atakuwa na uwezo wa kupata hela kirahisi,kumbuka sifa mojawapo ya hela inabidi iwe 'scarce' yaani haipatikani kizembe.Ila sasa ya kwetu hii imezidi.
 
Habari zenu waheshimiwa, napenda kuchukua fursa hii huru kuwasilisha swali ambalo nashindwa kulipatia majibu kwa kipindi kirefu, natumaini kwamba kwa busara na weledi wajukwaa hili nitaweza patiwa majibu sahihi. Hivi ni kwann serikali haichapishi pesa za kutosha na kudistribute kwny nyanja mbalimbali na kusolve its foreign debts.........??

Nawasilisha.
Kwa kifupi sana ni kuwa unahitaji foreign currency ili kuweza kuchapisha fedha, kwa hiyo kuchapisha fedha kwa wingi haiondoi mahitaji ya fedha za nje

Lakini pia unahitaji foreign currency ili kununua bidhaa na huduma toka nje ya nchi, hapo ndio suala la kukopa nje linapokuja ikiwa hujaimarisha uuzaji mkubwa wa bidhaa kwenda nje
 
10 kgs of gold and there are 10 people in your family. You now decide to distribute the gold between all the family members. However, instead of giving everyone 10 kg of physical gold, you give everyone a coupon that one could get 10 kg of gold in exchange for.

So 1 coupon = 10 kg of gold; 10 coupons = 10 x 10 kgs of gold. = 100 kgs of gold.

Now, each of those 10 members marry and bring a spouse into the family. Now, there are 20 members. However, the gold is still 100 kgs. In order to divide the gold equally among all members, you print 10 more coupons and hand them over to the new members of the family, while informing everyone that a coupon now can only be exchanged for 5 kgs of gold.

Therefore, after spouses come in: 1 coupon = 5 kg of gold; 20 coupons = 20 x 5 kgs of gold = 100 kgs of gold.

It should be obvious now that printing more coupons does not increase the value of the individual coupons because the 'wealth' of the family has not increased: it is still worth only 100 kgs of gold.

However, if by some great fortune, you were to now acquire additional 100 kgs of gold, each coupon now automatically becomes worth 10 kgs of gold.

1 coupon = 10 kgs of gold; 20 coupons = 20 x 10 kgs of gold = 200 kgs of gold.

A country too functions in much the same way where the currency note functions as a coupon that has an inherent value. Printing more currency notes (coupons) will only reduce their inherent value in direct proportion to the number of additional currency notes printed.

The value of currency notes increases only when the 'wealth' of the country increases. This wealth is typically measured in GDP, GNP etc. The more wealth a country creates and accumulates, the more valuable its currency notes become. Merely printing more currency notes will not make a country wealthy.
 
Mambo ya mze wa ruksa,kwanza nchi sio kwamba ikijisikia wakati wowote inachapisha hela,benki ya dunia ndo mchapishaji mkubwa wa hela za duniani kote,ila inapobidi kwa kibali maalum wanaweza kuruhusu benki kuu ya nchi husika kuchapisha hela kiasi flani ila unachapisha kutokana na uchumi wako na mzunguko wa hela,usije ukasababisha mfumuko wa bei maana kila mtu atakuwa na uwezo wa kupata hela kirahisi,kumbuka sifa mojawapo ya hela inabidi iwe 'scarce' yaani haipatikani kizembe.Ila sasa ya kwetu hii imezidi.
Ha ha ha ha, daah we jamaa umenipa wazo zuri ila umehitimisha kwa kituko....ha ha ha ha
 
Kwa kifupi sana ni kuwa unahitaji foreign currency ili kuweza kuchapisha fedha, kwa hiyo kuchapisha fedha kwa wingi haiondoi mahitaji ya fedha za nje

Lakini pia unahitaji foreign currency ili kununua bidhaa na huduma toka nje ya nchi, hapo ndio suala la kukopa nje linapokuja ikiwa hujaimarisha uuzaji mkubwa wa bidhaa kwenda nje
nimekupata senior economist....!!
 
0 kgs of gold and there are 10 people in your family. You now decide to distribute the gold between all the family members. However, instead of giving everyone 10 kg of physical gold, you give everyone a coupon that one could get 10 kg of gold in exchange for.

So 1 coupon = 10 kg of gold; 10 coupons = 10 x 10 kgs of gold. = 100 kgs of gold.

Now, each of those 10 members marry and bring a spouse into the family. Now, there are 20 members. However, the gold is still 100 kgs. In order to divide the gold equally among all members, you print 10 more coupons and hand them over to the new members of the family, while informing everyone that a coupon now can only be exchanged for 5 kgs of gold.

Therefore, after spouses come in: 1 coupon = 5 kg of gold; 20 coupons = 20 x 5 kgs of gold = 100 kgs of gold.

It should be obvious now that printing more coupons does not increase the value of the individual coupons because the 'wealth' of the family has not increased: it is still worth only 100 kgs of gold.

However, if by some great fortune, you were to now acquire additional 100 kgs of gold, each coupon now automatically becomes worth 10 kgs of gold.

1 coupon = 10 kgs of gold; 20 coupons = 20 x 10 kgs of gold = 200 kgs of gold.

A country too functions in much the same way where the currency note functions as a coupon that has an inherent value. Printing more currency notes (coupons) will only reduce their inherent value in direct proportion to the number of additional currency notes printed.

The value of currency notes increases only when the 'wealth' of the country increases. This wealth is typically measured in GDP, GNP etc. The more wealth a country creates and accumulates, the more valuable its currency notes become. Merely printing more currency notes will not make a country wealthy.
Mmmh hii algorithm niki2liza akili en nkamull it over n' over t could solve my problem.....
 
In the 1st paragraph, u rl meant 0 kg....??
 
Thhis model worked...., thnx bigbro!
 
mto mada kuna swala la inflation..... unapaswa ulijue.

ila mtoa mada anachozungumzia ni kuwa kama tunadaiwa dolar bilioni tano kwanini tusichapishe noti na kwenda kulipa hilo deni? yaani zisiingizwe kwenye mzunguko
Kwani tunalipa kwa local currency au foreign currency ambayo ni dollar
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom