Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapo taja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli uwa yana sound vizuri sana.
Kama nawewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
Mkuu kuna botanical names za wanyama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha wakat tuko advance tulikua tunapeana scientific name. Yaan jina la mtu lina badilishwa kuwa la kisanyas
Dah
Fidelicase magaliae
 
Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapo taja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli uwa yana sound vizuri sana.
Kama nawewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
Indira Mandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pilipili= capsicum anum
migomba= mussa spp.
papai= carica papaya
kabichi= brasica orelae
 
Pennisetum macrourum

Cyperus aggregatus

Deschampsia nubigena

Solanum incanum

Cyperus rotundus

Medicago sativum

Leucaena leococephala

Psedotera exempta

Kumbe bado nakumbuka, speling sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom