Kwanini Pua zimeng'olewa?

zhang laoshi

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
401
469
Habari
Kuna Siri gani kubwa imefichwa katika Kila Egyptian statues kutolewa Kwa pua? Ni Nani alizitoa?! Na Kwa sababu ipi? Pia kipi kinafichwa?. Ikumbukwe kuwa hizi statues zina historia kubwa duniani.
FB_IMG_1675584172107.jpg
 
Habari
Kuna Siri gani kubwa imefichwa katika Kila Egyptian statues kutolewa Kwa pua? Ni Nani alizitoa?! Na Kwa sababu ipi? Pia kipi kinafichwa?. Ikumbukwe kuwa hizi statues zina historia kubwa duniani.View attachment 2506976
Research has shown that ancient Egyptians believed that statues had a life force. If an opposing power came across a statue it wanted to disable, the best way to do that was to break off the statue's nose and hamper the breathing. Broken noses are thought to be the earliest form of iconoclasm.14 Sept 2020
 
Mbona kuna sehemu niliona wakieleza kuwa, hao ancient Egyptians walikuwa ni blacks !

Hivyo waliundiwa sanamu hizo kwa sura zao halisi zenye pua bapa.

Lengo la waliozivunja pua lilikuwa ni kuharibu historia.

Baada ya kuja mwingiliano wa watu weupe wenye pua za kuchongoka, ndiyo waliovunja pua hizo kupoteza uhalisia wa historia ya ukweli wa ubora wa Mwafrika wa kale.

Kwa sababu wangeliziacha, zingeendelea kuwasuta kuwa nchi hiyo na maajabu yake yote, hayakufanywa na jamii yenye asili yao, bali yalifanywa na watu wa jamii ambayo kwao inaonekana kuwa ni duni kuweza kutenda miujiza hiyo.
 
Kuna conspiracy theory nyingi, ila yenye mashiko ni deformation theory. Wind mvua, temperature vyote kwa pamoja vimeleta matokeo hayo.
Suala la Egyption kuwa weusi au weupe sio hoja kubwa kwa sasa sababu civilization yoyote hijumuisha watu wote.
Mfano mapinduzi ya viwanda mataifa mengi yamehusika.Mapinduzi ya kiteknolojia watu wote wanamchango.
Kampuni kubwa unazozijua wewe duniani zina kila rangi.
Mapiramidi kujengwa na weupe au weusi hayatuongezei chocchote. Sisi Waafrika tupambane na hali zetu, tupo nyuma sana.
 
Back
Top Bottom