Kwanini Wilaya nyingi za Mikoani vijiji vingi ardhi imefanywa kuwa hifadhi ya taifa au TFS?

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habari wakuu,

Kwanini Tanzania hii sehemu za wilaya hasa wilaya ambazo ziko Mikoani wilaya ambazo zina vijiji vingi vyenye sehemu kubwa ya mapoli yamefanywa kuwa hifadhi ya taifa?

Matokeo yake ni shuguli za kilimo kuwa kwa kiwango kidogo sababu ya sehemu kubwa ya mapori kufanywa hifadhi za taifa ama wakala wa misitu kupelekea jamii kuzalisha kidogo
 
Wapewe jwtz maana tfs wameshindwa, watu wanafyeka misitu kila siku kuchoma mkaa
 
Wapewe jwtz maana tfs wameshindwa, watu wanafyeka misitu kila siku kuchoma mkaa
Mkuu suluhu niserikali kuwekeza kwenye gas na umeme ili mwananchi wakawaida aweze kumudu ikiwezekana aweze hata kufanya kilimi Cha umwagiliaji fikiria uniti 1 ukiinunua kwa tsh 5 utashindwa fanya kilimo Cha umwagiliaji
 
Back
Top Bottom