Kwanini ofisi nyingi za serikali na binafsi hawaweki picha ya Baba wa Taifa sambamba na ya Rais?

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Sijui kama sheria imeshafutwa lakini ilikuwa ni lazima ofisi ya serikali au binafsi kuweka picha rasmi ya Rais pamoja na Baba wa Taifa, lakini naona siku hizi ofisi nyingi zinaweka picha moja tu ya Rais.

Kizazi cha sasa na kijacho watamjua kweli muasisi wa taifa hili?
 
Back
Top Bottom