Kwanini nyumba za Ulaya si kama za huku Afrika?

Mkuu, nyumba nyingi za Ulaya ujengwa kwa kufuata mipango ya miji na nyingi hujengwa na serikali then kupangushwa au kuuzwa kwa raia wa kawaida, dats why unaweza nyingi hata muundo zinafanan.
Kuhusi parking hii huwa unazingatiwa sana maana kule kwa wenzetu gari ni kitu cha kawaida sana

Halafu kule wana mipango ya muda mrefu na hujenga nyumba imara. Huku kwenu karibu kila kitu ni ad hoc. Planners wamekuwa white elephants unategemea nini?
 
Nyumba za Ulaya nyingi zinakuwa na mfumo wa parking nyingi sana, mfano kama Marekani na zimejaa machokochoko mengi tu.

Ukija huku Afrika ni chache pengine hata hamna tu. Je, wenzetu wana akili sana kuwa wanajenga kitu cha kutosheleza au sisi ndio tuna akili sana!

Hizo nyumba uliziona kwenye picha sinema uko huko au ulisimuliwa?
Haya jibu upesi ! Marekani niUlaya.?
Jibu upesi we mbwiga
 
Ulaya sio Marekani, ni sawa unasema "huko Tanzania watu weusi mno mfano Kenya utadhani wamepakwa mkaa"... Hiyo sentensi ina-make sense??

ila wewe una miakili me nilikua cjagundua kabsa, kumbe nadeserve hii FAIL
 
Nyumba za Ulaya nyingi zinakuwa na mfumo wa parking nyingi sana, mfano kama Marekani na zimejaa machokochoko mengi tu.

Ukija huku Afrika ni chache pengine hata hamna tu. Je, wenzetu wana akili sana kuwa wanajenga kitu cha kutosheleza au sisi ndio tuna akili sana!
Tatizo siyo akili, tatizo ni nidhamu.
Wengi wetu tunapenda kudhani kuwa tunaishi sawa tu na Europe au US. Wakati ukweli ni kuwa tunaishi tofauti, maisha yetu yapo nyuma kulingana na Europe au US.
Mfano mzuri ni asilimia ya watu wanaojisaidia haja kubwa kwenye mashimo. Kwa US ni 0% kwa sub-saharan Africa sijui ni ngapi ila itakuwa zaidi ya 97%.
Ni vigumu sana kumfikiria msichana mrembo au mabishoo wanaojisaidia kwenye shimo. Tujirekebishe!
 
Mleta mada ulikunywa iroba Au nn?? Haipaswi kuthu ubutu kufananisha hivyo vitu hao tangu miama ya 1700 mwishon walianza hayua ambazo sis leo zaid ya miaka 300 bado, hata bajet wanayusaidia, sasa hiv wanatusaidia walau tuwe wastaarabu na tuwe na uhakika wa kuishi, rejea msaada wa net na mradi wa mkono sweta.
Iweje wewe uwafanishe kimakaz ambako aslimia kubwa ya watz nyakat za usku yunaishi kama mijusi?? Pia serikali imepga marufuku viroba.
 
Back
Top Bottom