Mkuu, nyumba nyingi za Ulaya ujengwa kwa kufuata mipango ya miji na nyingi hujengwa na serikali then kupangushwa au kuuzwa kwa raia wa kawaida, dats why unaweza nyingi hata muundo zinafanan.
Kuhusi parking hii huwa unazingatiwa sana maana kule kwa wenzetu gari ni kitu cha kawaida sana
Halafu kule wana mipango ya muda mrefu na hujenga nyumba imara. Huku kwenu karibu kila kitu ni ad hoc. Planners wamekuwa white elephants unategemea nini?