Kwanini Nyerere Hakupenda Wasomi?

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Viongozi wake wengi wakuu walikuwa na elimu ndogo tu. Mfano..Biti Titi, Mzee Kawawa, Kingunge nk.
Isitoshe wale walioonekana wasomi jamaa aliwademolish...akina Tuntemeke Sanga, yule ticha wa makongo(Classmate wa Abort) na wengineo!!
 
Jambo zito umeliweka kiudaku zaidi.
 
wewe vipi? Nyerere alikuachieni utitiri wa vyuo vya elimu, kilimo, uvuvi, ufundi, uhasibu, utibabu, maji , usafirishaji, umeme, misitu, ufugaji, siasa, uandishi wa habari, biashara, utalii, ushirika, sanaa, ardhi, fedha nk nk. Huoni kuwa hata mlipoamua kuvipandisha daraja na kuviita Universties hamkupata tabu ya majengo wala logistics. Baada ya Nyerere nyie wapenda wasomi mmejenga vyuo vingapi zaidi ya kimoja tu UDOM? Kwa miaka 21 Nyerere alijenga utitiri wa vyuo, nyie wapenda wasomi kwa miaka 27 mmejenga chuo kimoja tu, huoni kwamba wewe ni kichekesho usiye na aibu wala adabu. Hii nchi watu walikuja toka nchi mbalimbali kuja kupata elimu, walitoka swaziland, lesotho, zambia, botswana, uganda, kenya, DRC etc jamani nyie msio fundishwa na mama zenu ni lini mtamwacha mzee wa watu apumzike .
 
Back
Top Bottom