Kwanini nashauriwa nioe?

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,967
6,907
Habari wana Jf,

Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa

Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila). Maneno haya yamekuwa yakirudia kila wakti jambo ambalo linaanza kunifanya nione au ni kweli sasa napaswa kuoa.

Tuachane na hilo kuna mpangaji mwenzangu leo kanikuta nafanya zangu viusafi akanimbia "Kaka inabidi uoe sasa" huku anacheka (kiumri jamaa kanizidi na anaishi na pisi yake, jamaa ni dokta na pisi yake ni nurse). Me nikamjibu tu kwamba asijali siku akipatikana mwanamke sahihi kwa muda sahihi nitaoa.

Wazazi wangu hawajawahi kuniambia chochote kuhusu kuoa tena, mama ndio huniambia nitulize kiherere cha kuharakia me bado m-little.

Sasa maswali ninayojiuliza kichwani "Hivi ni kigezo kipi cha kuoa? Je, ni kwamba nina vigezo vyote vinavyoonekana ila mimi ndo nafeli au? Au je, ni kwamba ki-Africa kijana ukishakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako muhimu unapaswa kuoa?

Au umri wangu ni mkubwa vya kutosha (naelekea 23 sasa)? Au ni kwasababu ya wanavyoniona najifanyia zile shughuli zangu kama kupika, kufua na kujioshea vivyombo vyangu? Au wanahofia nitatafuna pisi zao?

Ebu wakuu nishaurini hapa, hawa watu wakirudia tena haya maneno niwajibuje? Au kama ni kweli ni muda wa kufaa kuoa niambieni? Ila kiukweli kabisa najiona bado nauhitaji huu wepesi hadi baada ya kama 5 years + hivi maana nikiwa hivi naona inanifanya niwe mwepesi ku-risk maisha popote nitakapo.

Tiririka chochote chenye tija kunijenga.
 
Miaka 23 [2000] uoe?! hao majirani wote ni wendawazimu na wapumbavu,wame kua miili tu ila akili hamna.

Kwa umri wako huo hata mchumba/mpenzi haustahili kumiliki.
duh mkuu, hata mpenzi tu? 😁😁 we kweli kama wazazi wangu tu
 
Miaka 23 wanakupigia yowe? Mkuu utakua wewe ni chibonge..
Miaka 23 baaado sana.
Embu endelea kucheza na wenzio kwanza, muda ukifika hautahitaji kushauriwa, wewe mwenyewe utaenda kuoa kama kondoo.
Hawa wa kataa ndoa wasikutishe, wao ni mabalozi wa mkono bao.
Muda bado
 
Habari wana Jf.
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa

Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila), Maneno haya yamekuwa yakirudia kila wakti jambo ambalo linaanza kunifanya nione au ni kweli sasa napaswa kuoa...

Tuachane na hilo kuna mpangaji mwenzangu leo kanikuta nafanya zangu viusafi akanimbia "Kaka inabidi uoe sasa" huku anacheka (kiumri jamaa kanizidi na anaishi na pisi yake, Jamaa ni dokta na pisi yake ni nurse) Me nikamjibu tu kwamba asijali siku akipatikana mwanamke sahihi kwa muda sahihi nitaoa.

(Wazazi wangu hawajawahi kuniambia chochote kuhusu kuoa tena mama ndo huniambia nitulize kiherere cha kuharakia me bado m-little)

Sasa maswali ninayojiuliza kichwani "Hivi ni kigezo kipi cha kuoa?, Je ni kwamba nina vigezo vyote vinavyoonekana ila mimi ndo nafeli au?, Au je, ni kwamba ki-Africa kijana ukishakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako muhimu unapaswa kuoa?, Au umri wangu ni mkubwa vya kutosha? (naelekea 23 sasa), Au ni kwasababu ya wanavyoniona najifanyia zile shughuli zangu kama kupika, Kufua na kujioshea vivyombo vyangu? Au wanahofia nitatafuna pisi zao?

Ebu wakuu nishaurini hapa hawa watu wakirudia tena haya maneno niwajibuje? Au kama ni kweli ni muda wa kufaa kuoa niambieni? Ila kiukweli kabisa najiona bado nauhitaji huu wepesi hadi baada ya kama 5 years + hivi maana nikiwa hivi naona inanifanya niwe mwepesi ku-risk maisha popote nitakapo.

Tiririka chochote chenye tija kunijenga...
Wanaogopa utawatafunia wake zao 😅 manake ndo Kwanza uko kwenye umri wa nyegezi-mwanza.
 
Habari wana Jf.
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa

Wewe mwenyewe huoni kama ndoa inatija,je washauri sisi utatuelewa kweli
 
Kataa ufuska ,chagua ndoa kwa afya ya kimwili na kiroho na upate kibali mbele za bwana
 
Enzi zile nyumba za kupanga Ni vyumba sita ndani na vingine uani, choo na bafu uani, nilipanga nyumba moja mjini Dar. Chumba changu kilikua Cha ndani, wapangaji wenzangu wote wameoa Ila Mimi tu.
Kila nikitembelewa na pisi langu la kirangi, limeenda juu halafu Lina mzigo makalioni, wake za wapangaji wenzangu wote wanatoka vyumbani wanakaa kwenye korido. Kama atalala ujue kumi na moja na nusu asubuhi tayari wanawake wako nje bombani na wengine wanafagia nje.
Kumbe walikua wanataka nichukue mmoja wao.
 
Ila kataa ushauri wa uoe ili majukumu ya ndani yapungue yatafanywa na mwanamke ,pamoja ni majukumu yao ila usitake kuoa kisa ubatafuta mtu wa kukusaidia kupunguza mzigo wa majukumu hilo Sio huo na ni ubatili, ndoa sio ajira ya kwamba unatafuta mfanyakazi wa kukufulia, kukuoshea vyombo kukupikia ni zaidi ya hapo ndoa ni jambo pana kidogo
 
Miaka 23 [2000] uoe?! hao majirani wote ni wendawazimu na wapumbavu,wame kua miili tu ila akili hamna.

Kwa umri wako huo hata mchumba/mpenzi haustahili kumiliki.
Kama ameanza kujitegemea aba uwezo wa kuingia kwenye bdia,unataka akulie na kuezekea kwa wazazi
 
Song of Solomon 3:5
I charge you, O ye daughters of Jerusalem, by the roes, and by the hinds of the field, that ye stir not up, nor awake my love, till he please.
 
Miaka 23 wanakupigia yowe? Mkuu utakua wewe ni chibonge..
Miaka 23 baaado sana.
Embu endelea kucheza na wenzio kwanza, muda ukifika hautahitaji kushauriwa, wewe mwenyewe utaenda kuoa kama kondoo.
Hawa wa kataa ndoa wasikutishe, wao ni mabalozi wa mkono bao.
Muda bado
Chibonge wapi mkuu, kawaida tu ila labda upeo unafanya wahisi me mkubwa maana umri hawaujui
AddText_02-26-12.50.38.jpg
 
Enzi zile nyumba za kupanga Ni vyumba sita ndani na vingine uani, choo na bafu uani, nilipanga nyumba moja mjini Dar. Chumba changu kilikua Cha ndani, wapangaji wenzangu wote wameoa Ila Mimi tu.
Kila nikitembelewa na pisi langu la kirangi, limeenda juu halafu Lina mzigo makalioni, wake za wapangaji wenzangu wote wanatoka vyumbani wanakaa kwenye korido. Kama atalala ujue kumi na moja na nusu asubuhi tayari wanawake wako nje bombani na wengine wanafagia nje.
Kumbe walikua wanataka nichukue mmoja wao.
ulikuja kujua vipi lengo lao?
 
Back
Top Bottom