Kwanini nafasi za kisiasa zisiwe zinatangazwa wanachama tuombe?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
909
4,215
Makatibu wa chama kwenye ngazi zote na vyama vyote wanateuliwa.
Wenezi wa chama wote wanateuliwa.

Wenyeviti wanapatikana kwa kura. Natafakari kwanini vyama vya siasa visibadili mfumo na nafasi zote zinazoambatana na mshahara basi zitangazwe watu waombe kama wanavyoomba huko serikalini.

utaratibu huu uendane na kuvunjwa mkataba wa ajira pale anaposhindwa kisha nafasi kutangazwa upya. Hii itapunguza kupeana nafasi kwa mapenzi, undugu, ukabila nk
 
Back
Top Bottom