Kwanini Mugabe anatukana Wazungu kwa Kiingereza?

Lkn Mzungu ndiyo anazidi kukudharau jaribu tu uwe nafasi ya Mzungu labda tusema mtu ktk Chad au Mali anakuchukia sana anachukia kila kitu chako halafu anatoa hotuba kwa kwa lugha yako huku akiponda kila kitu chako, wewe utajisikiaje? Hautajiuliza mswali, kama mimi ni mbaya hivyo kwake ni kwa nini anatumia lugha yangu? na Je utaendelea kumuheshimu huyu mtu?
Nita muheshimu sana na kumuogopa mno kwa ujasiri wake, hivi nikikutukana kwa lugha yangu ya asili wakati wewe wala hujawahi kuisikia itakuuma kweli? Acha mugabe aseme kama tako, liwe tako maana ukisema kalio itaonekana umemstiri.
 
Kwa hali ya kawaida nitakuheshimu kwa maana nitaona unajiamini na unajithamini, na ndiyo maana unaona Viongozi wote wa nchi zinazojithamini huongea lugha zao Ahmedinejad akiongea kuhusu Marekani anaongea Kipersia na Wazungu wanatafsiri, Chaves alikuwa anaongea Kihispania na Mmarekani anatafsiri hata Kim wa Korea uhutubia kwa Kikorea na Wazungu hutafsiri na hivyo basi Mzungu anamuheshimu zaidi Kim klk Mugabe anayeongea kwa kiingereza!
 
Sina uhakika kama hao jamaa ulio wataja wanajua kiingereza, maana tunazungumza lugha zao kutokana na historia ya wao kutawala nchi zetu, sasa hao kina Ahmedinejad na chavez walishakuwa koloni la muingereza? sijui lakini mi napenda nikikuambi jambo uelewe hapo hapo, sio uende kuuliza baada ya wiki ndio uje urudie mjadala uliokwisha kisa ndio umeelewa hapana hapo kwa hapo yaeleweke.
 
Hii kitu sijaielewa mpaka leo, Rais Mugabe anawatukana sana Wazungu kwa kifupi anawachukia lkn anayafanya yote haya kwa Kiingereza tena kwenye makao Makuu ya nchi za Kiafrika sasa kwanini asitumie Kishona?
Anapenda vya wazungu huku akiwachukia wazungu
 
Sina uhakika kama hao jamaa ulio wataja wanajua kiingereza, maana tunazungumza lugha zao kutokana na historia ya wao kutawala nchi zetu, sasa hao kina Ahmedinejad na chavez walishakuwa koloni la muingereza? sijui lakini mi napenda nikikuambi jambo uelewe hapo hapo, sio uende kuuliza baada ya wiki ndio uje urudie mjadala uliokwisha kisa ndio umeelewa hapana hapo kwa hapo yaeleweke.

Lakini kama lengo ndiyo hilo basi Wazungu wanazidi kumdharau tu, kwa maana Wazungu na Binadamu kwa ujumla humuheshimu yule binadamu anayejithamini!
Hakuna kiongozi asiyejua Kiingereza siku hizi, akina Putin wote wanajua Kiingereza vizuri tu lkn kamwe hawezi kuongea Kiingereza rasmi ila akikutana akina Obama huko faragha wanaongea Kiingereza lkn kama ni rasmi hata siku moja hawezi kutumia Kiingereza aua Lugha nyingine yoyote isiyo ya nchi yake na kama swala ni kutawaliwa tu mbona Vietnam ilitawaliwa na Ufaransa lkn Raisi wa Vietnam haongei Kifaransa kama Maraisi wa Kiafrika waliotawaliwa na Ufaransa?

Mambo kama haya ndiyo yanayotufanya tudharaulike na Dunia nzima hata India wanatuchoma moto kwa sababu hatujithamini!
 
Hii kitu sijaielewa mpaka leo, Rais Mugabe anawatukana sana Wazungu kwa kifupi anawachukia lkn anayafanya yote haya kwa Kiingereza tena kwenye makao Makuu ya nchi za Kiafrika sasa kwanini asitumie Kishona?
Mbona jibu jepesi sana,
Wewe ulitaka awatukane kwa ki-shona kwani watamwelewa?? Katumia lugha ambayo wengi wao watamwelewa kuwa kweli anawatukana...
 
Hahah unanikumbusha Sadamu Huseini alikutwa kwenye shimo la nyoka na chocolate ya Snickers, huku akiwa amewapiga Wairak kununua vitu vya Wazungu!
 
pole mkuu kweli kakuchefua Hakuna swala la nimesikia bila shaka unaweza kuwa mwanasheria.
Tatizo tunakula meza moja watoto watoto humu, basi wanataka wakule pasipo kuosha mikono aiseeee....
Watoto hawaumizi akili na ubongo katika kuweka mabandiko humu jf aiseeee
 
Mbwa wote wa wazungu lazima wabweke bwana zao wakitukanwa. Wazungu ni wezi tu,wanataka wawepo vibaraka wao kama Tsavangirai kutetea mirija yao. Walimua Lumumba wakamweka Mabutu kaisaidia nini Zaire enyi waabudu binadamu wenzenu. Waliwashawishi walibya kumwona Gaddafi Dikteta,wamemua Libya imefaidi nini? Waliimba Demokrasia Misri,uchaguzi ulipofanyika na akashinda wasiyemtaka wao matokeo ni nini? Yeyote anayeamini wazungu watatusaidia kuendelea namwona kama mpuuzi tu. Maendeleo huletwa na wanayoyataka. Korea,China,Cuba zimethibitisha faida ya kujiamini na kuamua mambo yako mwenyewe. Nawapenda mashujaa wetu aina ya Mkwawa,Kinjekitile na kuichukia tabia ya Mangunga wa kale na wa leo. Shikamoo jongwe Mugabe.
 
Hii kitu sijaielewa mpaka leo, Rais Mugabe anawatukana sana Wazungu kwa kifupi anawachukia lkn anayafanya yote haya kwa Kiingereza tena kwenye makao Makuu ya nchi za Kiafrika sasa kwanini asitumie Kishona?
Mtu akitaja sehemu za kike kwa kiswahili na mngine akazitaja kwa kiingereza, je yupi utamuona ametukana? Tafakari..............
 
Lakini kama lengo ndiyo hilo basi Wazungu wanazidi kumdharau tu, kwa maana Wazungu na Binadamu kwa ujumla humuheshimu yule binadamu anayejithamini!
Hakuna kiongozi asiyejua Kiingereza siku hizi, akina Putin wote wanajua Kiingereza vizuri tu lkn kamwe hawezi kuongea Kiingereza rasmi ila akikutana akina Obama huko faragha wanaongea Kiingereza lkn kama ni rasmi hata siku moja hawezi kutumia Kiingereza aua Lugha nyingine yoyote isiyo ya nchi yake na kama swala ni kutawaliwa tu mbona Vietnam ilitawaliwa na Ufaransa lkn Raisi wa Vietnam haongei Kifaransa kama Maraisi wa Kiafrika waliotawaliwa na Ufaransa?

Mambo kama haya ndiyo yanayotufanya tudharaulike na Dunia nzima hata India wanatuchoma moto kwa sababu hatujithamini!
Hata wakijidai kumdharau, ila ulimwengu unajua mugabe amewanyoosha, waendelee kuwanyanyasa wanao abudu misaada yao period.
 
Huyu jamaa wazungu hawawezi kumsahau. Siku zote ni outspoken. Kazeeka mwili akili pale pale.
 
Hii kitu sijaielewa mpaka leo, Rais Mugabe anawatukana sana Wazungu kwa kifupi anawachukia lkn anayafanya yote haya kwa Kiingereza tena kwenye makao Makuu ya nchi za Kiafrika sasa kwanini asitumie Kishona?
Kwa sababu ndiyo lugha anayoifahamu vema
 
Hii kitu sijaielewa mpaka leo, Rais Mugabe anawatukana sana Wazungu kwa kifupi anawachukia lkn anayafanya yote haya kwa Kiingereza tena kwenye makao Makuu ya nchi za Kiafrika sasa kwanini asitumie Kishona?
hucho kishona wewe unakielewa ?
mwache awatukane na lugha yso hiyohiyo
 
Back
Top Bottom