Kwanini Mtanganyika hawezi kugombea urais Zanzibar?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,914
Wakuu habari

Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa

Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika Muungano huu.

N rahis kwa mzanzibar kumiliki ardhi TANGANYIKA kuliko MTANGANYIKA kumiliki ardhi Zanzibar

Kama muungano huu n wa usawa mbona una ubaguzi ndani yake nayasema haya nikiwa Zanzibar hapa kiutafutaji toka wiki iliyopita nikajaribu kufuatilia taratibu za umiliki wa ardhi kiukwel n ngumu mno kupata ardhi yaaan watoto wa mjin wanasema kwa mbinde Sana

SUALA LA URAIS. Nalo naona n kizungumkuti Sana kwann watu wabara au Watanganyika hawatakiwi KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR lakini mzanzibar anaruhusiwa kugombea urais TANGANYIKA

RAIS SAMIA amewatoa mashekhe wa uamsho mahabusu lakini ameshindwa kuwatoa mashekhe mbalimbali ambao wapo magereza au mahabusu maeneo mbalimbali Tanzania je Rais huyu yupo kwa maslah ya wazanzibar pekee Kama haki angetenda kwa wote

Tumeona pesa za COVID-19 zilizokopwa zimepelekwa hadi Zanzibar kujenga Shule hospitali je mikopo wanayokopa wenzetu wa Zanzibar lini ililetwa huku bara na sisi tukajenga shule na zahanati?

Huu muungano ni wa kuangaliwa kwa jicho la pili umekuwa wa kuwadekeza Wazanzibar huku TANGANYIKA ikinyonywa
 
Tuwanyonye alaf tujifanye tunalia tunanyonywa..

Am pretty sure huu muungano ukivunjika wao watakua wa kwanza kuteseka na kulia
Wakuu habari

Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa

Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika muungano huu.

N rahis kwa mzanzibar kumiliki ardhi TANGANYIKA kuliko MTANGANYIKA kumiliki ardhi Zanzibar

Kama muungano huu n wa usawa mbona unaubaguzi ndani yake nayasema haya nikiwa Zanzibar hapa kiutafutaji toka wiki iliyopita nikajaribu kufuatilia taratibu za umiliki wa ardhi kiukwel n ngumu mno kupata ardhi yaaan watoto wa mjin wanasema kwa mbinde Sana

SUALA LA URAIS. nalo naona n kizungumkuti Sana kwann watu wabara au Watanganyika hawatakiwi KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR lakn mzanzibar anaruhusiwa kugombea urais TANGANYIKA

RAIS SAMIA amewatoa mashekhe wanuamsho mahabusu lakn ameshindwa kuwatoa mashekhe mbalimbali ambao wapo magereza au mahabusu maeneo mablimbli Tanzania je Rais huyu yupo kwa maslah ya wazanzibar pekee Kama haki angetenda kwa wote

Tumeona pesa za covid zilizokopwa zimepelekwa had Zanzibar kujenga shule hospitali je mikopo wanayo kopa wenzetu wa Zanzibar lini ililetwa huku bara na sisi tukajenga shule na zahanati?

Huu muungano n wakuangaliwa kwa jicho la pili umekuwa wa kuwadekeza wazanzibar huku TANGANYIKA ikinyonywa
 
Zanzibar ni nchi kamili kwa 100%, lakini ipo kwenye 'shirikisho' linaloitwa Tanzania.

Tanganyika ni shamba la bibi ambalo kila mgeni anaweza kuingia na kuvuna chochote. Sisi wazanzibar, wengine warundi, warwanda, wakongo, wakenya, waganda, waarabu, wahindi, wachina, wazungu nk. kila siku tunavuna kwenye hilo shamba la bibi.

Watanganyika msitegemee kuna mtu kutoka nje atakuja kuwapigania, unganeni pamoja muipiganie Tanganyika yenu. Mjiandae kulipa gharama. Woga wenu ndio unawagharimu sasa.
 
Mkuu jibidiishe kuelewa nature ya muungano wetu kwanza na ujue kwa nini wazee wetu including JK Nyerere( mzalendo halisi) waamue muungano uwe wa namna hiyo sio tu kutoa lawama zisizo za msingi kama mtoto wa kambo
 
Mkuu uliyosema juu ya Zanzibar ni kweli ila umeonyesha ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya Tanganyika si vyema...msingi wa muungano ni undugu
 
Na Undugu usio na usawa Ni Unyonyaji. Mzanzibar amiliki Ardhi bara harafu mtu wa Bara asiruhusiwe kwenye nchi mnayoita Moja harafu tuseme Ni Undugu? Kasome maana ya Undugu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu jibidiishe kuelewa nature ya muungano wetu kwanza na ujue kwa nini wazee wetu including JK Nyerere( mzalendo halisi) waamue muungano uwe wa namna hiyo sio tu kutoa lawama zisizo za msingi kama mtoto wa kambo
Bogus!!!
Dunia inabadilika na mtazamo wa nyerere 60yrs ago sio mwelekeo wa vijana na raia miaka hii ya kizazi Cha wasakatonge. Zanzibar inabebika mno na muungano huku watanganyika wakiwa kundi moja na waethiopia,wachina na warundi kwenye nchi yao ya muungano. Rejea muungano wa EU nchi wanachama zinavofaidi equally!!!

Elimu ndogo ni sumu.
 
Tuwanyonye alaf tujifanye tunalia tunanyonywa..

Am pretty sure huu muungano ukivunjika wao watakua wa kwanza kuteseka na kulia
Kwani kinachofanya tuwang'ang'anie ninn? Mbona sisi ndio wakwanza kukumbatia muungano? Kwanza tuna roho mbaya tunaona day tukiwaachia mwaka mmoja tu watakua na maendeleo kwa muda mdogo, lakini kutokana na tohozetu mbaya hatutaki tuwape uhuru wao
 
Wakuu habari

Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa

Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika muungano huu.

N rahis kwa mzanzibar kumiliki ardhi TANGANYIKA kuliko MTANGANYIKA kumiliki ardhi Zanzibar

Kama muungano huu n wa usawa mbona unaubaguzi ndani yake nayasema haya nikiwa Zanzibar hapa kiutafutaji toka wiki iliyopita nikajaribu kufuatilia taratibu za umiliki wa ardhi kiukwel n ngumu mno kupata ardhi yaaan watoto wa mjin wanasema kwa mbinde Sana

SUALA LA URAIS. nalo naona n kizungumkuti Sana kwann watu wabara au Watanganyika hawatakiwi KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR lakn mzanzibar anaruhusiwa kugombea urais TANGANYIKA

RAIS SAMIA amewatoa mashekhe wanuamsho mahabusu lakn ameshindwa kuwatoa mashekhe mbalimbali ambao wapo magereza au mahabusu maeneo mablimbli Tanzania je Rais huyu yupo kwa maslah ya wazanzibar pekee Kama haki angetenda kwa wote

Tumeona pesa za covid zilizokopwa zimepelekwa had Zanzibar kujenga shule hospitali je mikopo wanayo kopa wenzetu wa Zanzibar lini ililetwa huku bara na sisi tukajenga shule na zahanati?

Huu muungano n wakuangaliwa kwa jicho la pili umekuwa wa kuwadekeza wazanzibar huku TANGANYIKA ikinyonywa
Huu muungano kwa taarifa yako we wa kunyumba tunaulazimisha sisi wa bara.
Sisi kuwalalamikia wa Zanzibar ni kuwaonea tu. Tukilalamika Sana watatuambia tuuvunje.
 
Tunatakiwa tujiulize sisi watanganyika kwa ujumla, kwanini tunawalazimisha wazanzibar kuwa kwenye muungano?
Matokeo yake tunawapendelea wazanzibar ili tu wabaki kwenye muungano
Kuwalazimisha ni neno zito kidogo sababu mbona sasa hivi hatuwasikii, ila kwa ujumla huu muungano hatuna faida nao unatutia hasara tu na mbaya zaidi wazanzibari ni wabinafsi na wabaguzi, kule muislam wa Tanganyika nae anaitwa kafir tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom