Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

ni muda mrefu tangu mbunge wa jimbo la gairo alipolikwapua jimbo hilo likiwa na hali mbaya sanaa. asipewe sifa kwa nini? tunasema apewe sifa kwanza amelitoa jimbo sehemu mbaya na amejaribu sana kusaidia watu wengi kwa namna moja au nyengine kuanzia elimu,maisha,nakadhalika
Amekuwekea mazingira ya kujiajiri? au kwa sababu alikusaidi hela ya kunua unga wa mlo wa mchana? achana na fikra tegemezi.
 
Hapa lazima kuna tatizo!! Njaa mbaya ndugu yangu..
 
Wapi wewe si afadhali na Shabiby ameweza kujitoa muhanga kwa mlipua huyo FISADI wa maji mkoa wa Morogoro. Je, wewe Mbunge wako wamefanya nn? Na kwa taarifa yako sasa hv kuna uhaba wa maji Mkoa wa Morogoro lakini si kama mwaka jana tunaweza kukaa miezi hata miwili bomba halitoi maji sasa hivi maji tunapata kwa masaa.

Unajua kilichokuwa kinasababisha tukose maji kipindi cha nyuma? Vyanzo vya maji viliuzwa kwa wakulima wanaolima milimani na sasa wamenyang`anywa.

Sisi wakazi wa Mkoa wa Morogoro tunawashukuru sana Ahmed Shabiby na Azizi Abood kwa kuturejeshea tena huduma ya maji hata kama wangeishia darasa la 7 hao wenye elimu zao wamefanya nini?

Kizuri kipewe sifa tuache roho mbaya.:A S thumbs_up:
 
Acha kudanganya umma, Shabiby ameibadilisha Gairo sana tu na watu wake wanamkubali sana tu na hakuna wa kuweza kumtoa labda atake mwenyewe, hiyo ni taarifa tu nakupa kama ulikuwa hujui.

SIRI YA MTUNGI AIJUAYE KATA. Waulize wakazi wa Gairo watakwambia kwann wanamkubali Mbunge wao hata kama si DR. au PROF.

Makofi kwa Mheshimiwa AHMED SHABIBY MABKHUT :clap2:
 
Hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu sema tu wananchi wa jimbo lake wamemkubali sababu anawasaidia sana na ukizingatia bado kijana thus why hawataki atoke labda kama atatokea mpinzani wa kweli, au wewe ndiye yule na digirii yako waliye kukataa?

Kumbuka MCHEZA KWAO HUTUNZWA sio mtu hata hatujui umezaliwa wapi, unaishi vipi uje tu eti unataka utuongoze kagombee Urais basi kama unaona rahisi.

Kumbe Shabiby :flame:anawaunguza wengi.
 
hebu twende sawa barabara za kiwango cha vumbi aka matope zilizo jengwa ni ngapi ( usitaje hii inayopita kwenye hiki kitupo chake cha mafuta) najua barabara zote zinazo enda mlali, tunguri ,etc zipo vilevile toka enzi ya mh chiduo tatazi lako ww ukimaliza kusafisha mabasi hapo unaona kamaliza kila kitu sio vibaya kumsifia tajiri yako ila sifa ziwe za kununua yutong tu
 
amekupa hela nini ?? maana mwarabu kumpa mtu hela sio ishu

wewe inaonyesha ni mpenda rushwa namba moja,manake haiwezekani mtu mpe sifa mbunge wake we ukimbilie kuhisi kapewa hela,c bure unaweza kua mgonjwa wewe!! Kwan we umekatazwa kumsifia wakwako? Km mbunge wako hana sifa mwambie aende akachkue koz gairo.
 
Hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu sema tu wananchi wa jimbo lake wamemkubali sababu anawasaidia sana na ukizingatia bado kijana thus why hawataki atoke labda kama atatokea mpinzani wa kweli, au wewe ndiye yule na digirii yako waliye kukataa?

Kumbuka MCHEZA KWAO HUTUNZWA sio mtu hata hatujui umezaliwa wapi, unaishi vipi uje tu eti unataka utuongoze kagombee Urais basi kama unaona rahisi.

Kumbe Shabiby :flame:anawaunguza wengi.

Shabiby anawaumiza weng sana! Waambie hao....!! Hao watakua wame2mwa.
 
for your information shabiby ni mkagulu original msidate na hyo rangi nyeupe! Siri ya mtung aijuaye kata,wanaomfaham shabiby ni wananchi wake wa gairo,we wa mbali huko utamfahamu vip? huyo anaewatuma mwenyewe sifa yake kubwa ni mnywa gongo vibandani,kuwen tu wapole! Shabiby ni wa gairo na gairo niya shabiby! Ful stop! Alowatuma mwambien ajipange na swaga mpya
 
Back
Top Bottom