Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

When travelling overseas, The Queen does not require a British passport. As aBritish passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for TheQueen to possess one. ... All other members of the Royal Family, including The Duke of Edinburgh and The Prince of Wales, have passports.

Kwanini yeye tu, mbona hata Marais wa mataifa yenye nguvu Duniani kama US, RUSSIA, CHINA na nyingine wa wapspoti??
Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??
Jibu hilo hapo kwa sababu passport inatolewa kwa jina lake kwa hiyo Haina sababu yeye awe nayo
 
There remain, as of 2020, twelve sovereign monarchies in Europe. Seven are kingdoms: Denmark, Norway, Sweden, the United Kingdom, Spain, the Netherlands and Belgium. Andorra, Liechtenstein, and Monaco are principalities, while Luxembourg is a Grand Duchy. The Vatican City is a theocratic state ruled by the Pope.

viongozi wa nchi hizi pia hawana pasipoti?
Naomba msaada huo utawala wa Grand Duchy ukoje huo ?
 
Akifa mrith wake pia hatakuwa na pasi ya kusafiria??
Kuna tofauti ya kutokuwa na kutokuihitaji i.e. kutokuhitajika ktk matumizi ya kiofisi/kiutendaji.

Mf: diplomats wanakuwa na madereva ila sio kigezo cha wao kutokuwa na leseni za udereva. Kumbuka kuwa Kabla ya kuwa diplomat anaweza kuwa alipitia mafuzo/alijifunza kuendesha gari na kutoka na nafasi/wadhifa aliokuwa nao kwa wakati husika ile leseni yake sio lazima aitumie.
 
Namna uliyotumia kumjibu ni namna walau sahihi ya kumwelewesha mtu.

Imagine, kwenye post yake kuna mahali panasema, "As a British passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for The Queen to possess one."

Mimi pia nimeelewa, na ningependa kuongeza maswali, tuna nchi kama Saudi Arabia ambazo ziko chini ya tawala za kifalme, utaratibu wao ukoje kuhusu passports? Kama passports zao zinakuwa in the names of Kings, hao Kings nao hawamiliki passports?
Sidhani kama wanahitaji.
Tayari kila passport inayomilikiwa na raia wa taifa lake imeidhinishwa na yeye na ikumbukwe kuwa utawala wake unafikia ukomo tuu pale anapofariki.

Kwa maana nyingine, as long as anaoshi na anavuta pumzi atakuwa akitambulika na dunia/ulimwengu mzima kama mtawala wa nchi/taifa husika.

Yeye mwenyewe tayari anatambulika kama nembo ya taifa lake.
Mfano: leo hii mtu akikutajia jina Lionel Messi kwa haraka haraka mtu atafikiria kuhusu Barcelona na Argentina, ukitajiwa jina Pele utaifikiria Brazil.

NB:
Kuwa na document ambayo umeithibitisha mwenyewe na ambayo kiapo kipo katika jina lako kama mamlaka ya juu kabisa haileti maana.
 
Jibu ni YES, Kings and Queens hawahitaji Passport kama wakisafiri kwenda nchi zingine,
Kumbuka, Passport ni kwa ajili ya Kiongozi wa nchi husika kumuombea kibali RAIA wake kuingia kwenye nchi anayoitaka,

Sasa kama mwenye nchi (King or Queen) ndie anataka kusafiri hana haja ya kua na passport sababu hizo passports zipo chini ya majina yake.

Unaweza ku google kwa taarifa zaidi.
Umeandika vyema sana.
Naamini amekuelewa
 
Jibu ni YES, Kings and Queens hawahitaji Passport kama wakisafiri kwenda nchi zingine,
Kumbuka, Passport ni kwa ajili ya Kiongozi wa nchi husika kumuombea kibali RAIA wake kuingia kwenye nchi anayoitaka,

Sasa kama mwenye nchi (King or Queen) ndie anataka kusafiri hana haja ya kua na passport sababu hizo passports zipo chini ya majina yake.

Unaweza ku google kwa taarifa zaidi.
What about the Dlamini family aka MUSWAT?
 
Ushaambiwa it is issued in the name of her majesty kwahiyo haina haja ya kuwa nayo.
Hao viongozi wengine uliowataja passports za nchi zao hazijatengenezwa kwa majina yao lazima wawe nazo.
Alafu sababu kubwa ni kwamba Yule ni malkia wa maisha, hawa viongozi wengine ni wa mpito so lazima wawe nazo ili waweze kuzitumia hata pale wanapokuwa hawapo katika nafasi zao za uongozi Ila malkia ni wa maishaaaaaa
When travelling overseas, The Queen does not require a British passport. As aBritish passport is issued in the name of Her Majesty, it is unnecessary for TheQueen to possess one. ... All other members of the Royal Family, including The Duke of Edinburgh and The Prince of Wales, have passports.

Kwanini yeye tu, mbona hata Marais wa mataifa yenye nguvu Duniani kama US, RUSSIA, CHINA na nyingine wa wapspoti??
Je, kuna kiongozi mwingine, ambaye ana hii privilege? Ina maana ana kitu gani cha ajabu??
 
Jibu ni YES, Kings and Queens hawahitaji Passport kama wakisafiri kwenda nchi zingine,
Kumbuka, Passport ni kwa ajili ya Kiongozi wa nchi husika kumuombea kibali RAIA wake kuingia kwenye nchi anayoitaka,

Sasa kama mwenye nchi (King or Queen) ndie anataka kusafiri hana haja ya kua na passport sababu hizo passports zipo chini ya majina yake.

Unaweza ku google kwa taarifa zaidi.
There remain, as of 2020, twelve sovereign monarchies in Europe. Seven are kingdoms: Denmark, Norway, Sweden, the United Kingdom, Spain, the Netherlands and Belgium. Andorra, Liechtenstein, and Monaco are principalities, while Luxembourg is a Grand Duchy. The Vatican City is a theocratic state ruled by the Pope.

Hivi hizi nchi pia si ni monarchy? inamaana hao viongozi nao pia hawana paspoti
Sidhani kama wanahitaji.
Tayari kila passport inayomilikiwa na raia wa taifa lake imeidhinishwa na yeye na ikumbukwe kuwa utawala wake unafikia ukomo tuu pale anapofariki.

Kwa maana nyingine, as long as anaoshi na anavuta pumzi atakuwa akitambulika na dunia/ulimwengu mzima kama mtawala wa nchi/taifa husika.

Yeye mwenyewe tayari anatambulika kama nembo ya taifa lake.
Mfano: leo hii mtu akikutajia jina Lionel Messi kwa haraka haraka mtu atafikiria kuhusu Barcelona na Argentina, ukitajiwa jina Pele utaifikiria Brazil.

NB:
Kuwa na document ambayo umeithibitisha mwenyewe na ambayo kiapo kipo katika jina lako kama mamlaka ya juu kabisa haileti maana.
@Culture Me ametoa ufafanuzi mzuri.
 
Here remain, as of 2020, twelve sovereign monarchies in Europe. Seven are kingdoms: Denmark, Norway, Sweden, the United Kingdom, Spain, the Netherlands and Belgium. Andorra, Liechtenstein, and Monaco are principalities, while Luxembourg is a Grand Duchy. The Vatican City is a theocratic state ruled by the Pope.

viongozi wa nchi hizi pia hawana pasipoti?
 
Kiongozi mkubwa kuwa na passport naona haina mantiki, mtu kama Rais wa nchi anapokwenda nchi nyingine, anapotua tu kuna viongozi wa kumpokea tayari wapo uwanjani, na anapokelewa kama kiongozi na viongozi wa nchi hiyo na kupewa heshima zote anazostahili mkuu wa nchi,na wakati wa kutoka airport anapita njia(gate) maalum sasa hapo umuhimu wa passport ni nini?

Mimi naona passport ipo tu kwa ajili ya sisi watu wadogo wadogo, labda kama akitoka madarakani na kuwa mwananchi wa kawaida ndiyo kunakuwa na umuhimu wa passport kwake.
 
Back
Top Bottom