Kwanini mafisadi hawakamatwi kama mbowe

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
Hii kali ya mwaka mafisadi wameiba ma billion ya fedha hata kuulizwa serikali inawaogopa huyu mbowe hata senti tana ajachakachua kasekwa rumande na jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kumlinda na kumsafirisha kwa helikopta hadi arusha na mahakama kumwachia huru kwa dhamana ile ile ya mwanzo. Hii serikali imechemsha katika kujali maslahi ya taifa gharama za kulipa posho kwa ffu na usafiri wa helikopta ungeweza kusaidia vikongwe wangapi wanaoshindwa kwenda kupata huduma za afya vijijini. Tujiulize hao mafisadi wawajulikani mbona polisi haiwakamati...
 
Kama mafisadi ,CCM na serikali ni kitu kilekile ili mfisadi wakamatike lazime vitu nilivyovitaja CCM ,mafisadi ,serikali na JK walau Kimojawapo kiwe tofauti vinginevyo ni kites ga maji katika kinu.PEOPLE'S POWER is the only solution!
 
JK alishasema hawezi kuongoza nchi kwa sababu Mwalimu Nyerere alishindwa, Mwinyi alishindwa na Mkapa kashindwa. Akasema na yeye ameshindwa na tusimlaumu.
 
Mbowe amekamatwa kwa kuingilia maslahi ya hao walioneemeka,pili tunakaribia kikao cha bajeti kumkamata Mbowe ni kupunguza kasi ya watoa hoja bungeni.Tatu mafisadi wa kweli wana mahusiano na vinara,hawafanyi bila idhini ya viranja.Nne vyombo vya dora na mahakama vipo tu kwa maslahi ya Chama tawala.Subiri katika ya kuchakachuriwa labda kutakuwepo nafuu kwa walala hoi.
 
Back
Top Bottom