Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Hivi Lowassa akiwa waziri mkuu kabla ya kulazimiishwa kujiuzuru kwa kashfa ya Richmond ni jambo gani alilolifanya na angalau labda tunaweza kuiita kuwa alifanya maamuzi magumu? au ile ya kutaka kutuletea mvua toka thailand?

Anazungumzia ajira je hakuliona hilo wakati akiwa Waziri mkuu? je alifanya maamuzi magumu yepi?

Anazungumzia Elimu je yeye alifanya maamuzi magumu yepi kuhakikisha kuwa vijana wanapata elimu iliyo bora kama anavyosema yeye hivi sasa? si ndie aliyeleta shule za kata zisizokuwa na tija yoyote? hazina walimu, hazina madawati, hazina vyoo, watoto ni kushinda wanafanya vibarua kwa walimu wao, mwisho wa mwaka Div 0 za kumwaga siku hizi

Alivyombea na mnafiki kuelekea uchaguzi wa 2015 ...eti anawapongeza akina Magufuli na Mwakyembe kwa kujenga barabara na sio serikali ya Rafiki yake, hapo anajaribu kutafuta vigezo kwa kutumia reli ya kati kuwababaisha watu huko ilikopita reli kuwa atarudisha usafiri wao wa reli ya kati,
 
i am not going to reply with the same offensive words like you did, because i am not a person of that kind. kumchana mtu sio kwamba nasapoti au sisapoti anachoongea. unachotakiwa kufanya ni kuleta hoja safi na kuijenga ili kuwaconvince watu wakubaliane na unachoongea. ukiwa unaongea kwa matusi na ukiwa na mahasira ya ajabu kama hayo uliyoandika hapa, haufaidiki kitu na mtu anaweza kudharau kile unachoongea hata kama ulikuwa unaongea cha maana. however, what you speak or write is what defines you! have a nice day ndugu.

Ila unamshambulia bure huyo bhana alichoandika hata mimi nimekielewa..sijapenda lugha aliyoandika kukujibu siyo ya kiungwana..humu ndani kuna washabiki wa viongozi mbalimbali na wengine blindly wanawapenda ama kuwachukia viongozi fulani katika nchi yetu. Lakini ukweli uko pale pale kwamba LOWASA hajawahi hata siku moja katika kufuatilia kwangu mijadala na maoni yake hata ukosoaji wake kwa Chama Tawala au utawala kwa ujumla kuzungumzia RUSHWA ama UFISADI kama ni tatizo katika Tanzania..maamuzi magumu kwake hayazungumzii RUSHWA ama UFISADI asilani..We need to connect dots on this why!! Hata wewe jiulize swali hili japo he is excellent in speech!! Japo si lazima kuzungumzia RUSHWA lakini serikali inakwama mara zote katika mipango yake kwa sababu ya upotevu wa fedha kwa njia hizi za KIFISADI na RUSHWA. Vijana wanashindwa kusaidilika kwa sababu ya RUSHWA (ya upendeleo) pamoja na UFISADI. Maskini wanaongezeka kwa sababu hiyo hiyo..ni lazima tumshauri abadilike na aikemee rushwa kama Mh. Rais anavyoichukia japo imemuelemea
 
Hawezi kugusa hapo hata kidogo maana yeye ndo kansa no, moja ya Ufisadi Tanzania aliziaribu halimashauri zote nchini akiwa waziri mkuu kwa ufisadi,hawezi kutueleza chochote watanzania tulio makini labda wasiojitabua kama baadhi ninaowaona humu jf.anayasema haya kwasababu anamawazo ya mjengo no moja yeye na kundi lake lakini ajue watanzania awa sio wa mwaka 64 wameishajitambua.tulimpa nafasi ya kuzibitisha ushujaa wake badara yake akaja na Richmond so hana nafasi tena, alituzibitishia maneno ya Mwl NYERERE juu yake.(UKIWA MSAFI KUWA MSAFI KWELI NA WATU WOTE WAKUJUE KUWA WEWE NI MSAFI KURIKO KUWA POPO. MARA MKELI MARA MCHAFU)
 
Kweli ni jembe la;

1. Kuzolea mavi

2. Lililoiba raslimali za Taifa letu. Maana haliwezi kueleza jinsi lilivyopata mali hizo.

3. Lililotuingiza mkenge kwenye kashfa ya Richmwendu, likajipiga chini huku likililia uwaziri mnene.

4. Lililotaka kutuingiza mkenge mwingine eti kuleta mvua kutoka sailandi

5. Linalotumia rushwa kusaka urahisi 2015 na mbulukenge wanaofikiri kwa makalio wanashangilia.

6. La kufanya maamuzi magumu ya kuangamiza Taifa kwa mikataba ya kitapeli na kilaghai.

Misukule, toeni mapovu na mishipa kuwatokeza kama mmelia mchana kutwa kwa njaa au kufiwa ila mjue jambo moja kwamba. Watanzania wa leo si wa juzi na ubaya una mwisho wake.
 
Hana chochote cha kusema mbele ya uso wa watanzania makini, tunawajua viongozi makini na wenye kufanya maamuzi magumu kwa masirai ya watanzania sio yeye maamuzi magumu ya Richimond na mabepari wenzake.anazani watanzania hawana akili. maamuzi magumu ni PALE KIONGOZI ANAPOTUHUMIWA/KASHIFA NA KUACHIA MADARAKA SIO YEYE MWENYE TAMAA yA MADARAKA. wapo viongozi tunaweza kuwasikiliza sio yeye hadi atoe jibu la Ufisadi. kama sio unafiki inawezekanaje LOWASA kumsifia MWAKYEMBE?
 
Jembe la kuzolea mavi, jembe la kukwapua raslimali za Taifa. Ndio maana Nyerere alisema halifai kwa urais.
 
VIPOFU WA MACHO NA MOYO UWA WA MSEMA KWA USHUJAA UFUATAO.
1, kuleta RICHIMOND
2,KUFUNDISHA HALIMASHURI ZOTE WIZI AKIWA WAZIRI MKUU
NA MENGINE MACHAFU MENGI.
ILA WATANZANIA KINACHOTUPONZA NI KUTOSIKIA NA KUJIFANYA TUNAJUA, MAANA BABA WA TAIFA ALITWAMBIA JUU YA LOWASSA TUKAJIFANYA HATUSIKII NA SASA ANAJARIBU KUFANYA HIVYOHIVYO ILI WATU WAONE ANAFAA 2015.OLE WENU MMLETE KWENYE GROUND,NTAJUA WATANZANIA WAKO MAKINI AU LA, MFANO MZURI ARUMERU,POLENI.
 
Ila unamshambulia bure huyo bhana alichoandika hata mimi nimekielewa..sijapenda lugha aliyoandika kukujibu siyo ya kiungwana..humu ndani kuna washabiki wa viongozi mbalimbali na wengine blindly wanawapenda ama kuwachukia viongozi fulani katika nchi yetu. Lakini ukweli uko pale pale kwamba LOWASA hajawahi hata siku moja katika kufuatilia kwangu mijadala na maoni yake hata ukosoaji wake kwa Chama Tawala au utawala kwa ujumla kuzungumzia RUSHWA ama UFISADI kama ni tatizo katika Tanzania..maamuzi magumu kwake hayazungumzii RUSHWA ama UFISADI asilani..We need to connect dots on this why!! Hata wewe jiulize swali hili japo he is excellent in speech!! Japo si lazima kuzungumzia RUSHWA lakini serikali inakwama mara zote katika mipango yake kwa sababu ya upotevu wa fedha kwa njia hizi za KIFISADI na RUSHWA. Vijana wanashindwa kusaidilika kwa sababu ya RUSHWA (ya upendeleo) pamoja na UFISADI. Maskini wanaongezeka kwa sababu hiyo hiyo..ni lazima tumshauri abadilike na aikemee rushwa kama Mh. Rais anavyoichukia japo imemuelemea

mnataka mjibiwe kistaarabu,bs muwe mnaleta hoja ambazo nizakistaarabu,ukileta utumbo unajibiwa kiutumbo zaid
 
Ero Mong'oo! Yaani Matusi yote haya ni ktk kumtetea tu Fisadi? Eti ndio Rais ajae! Labda rais wa TFF.Umelishwa yamini na Lowassa na huku ukiendelea kunufaika na pesa alizoiba halafu leo unataka tukuunge mkono ktk kumtetea Fisadi!

Huna hata haya kuniambia niweke ushahidi wa ufisadi alioufanya!?
Kwani hujui kuwa nini kilimfukuzisha Uwaziri mkuu? Km hujui basi nina mashaka na Uwezo wako wa kichwa kutunza kumbukumbu.

Mimi ninajua tu lazima una Mimba yake ndio maana huishi kumsifia! AISIFIAE MVUA, UJUE LAZIMA ILIMNYEA!!
Mimi sina mtu ninae mtetea hapa zaidi ya nchi yangu Tanzania kwa ajili ya watoto na wajukuu wangu baadae.
Wewe umeishia kumtetea Mwanaume mwenzio,je hakuna sababu hapo?

mbna hapo hujatukanwa,hapo nimekusifia tu!!ukitukanwa utasemaje?hayo uliyokuw unayaandka hapo huyaoni!!hpo nilikuw najaribu kukueleza ukweli,ulivyoleta uzi huu wala lengo lako ilikuw ciyo kuleta hoja ijadiliwe.lengo ni umetumika kuleta upuuzi wa kumchafua lowassa humu jamvin,kwahyo ulichokipata ninsaiz yako kabs!!usifikir ww tu ndo mwenye uwezo wa kuandka matusi,tuna uwezo wa kukutusi mpak sehem ya kiungo ambacho kiko kwa mzaz aliyekuzaa,na tuka kuambia kikoje,
ni tumekustahi tu!!wakat mwingen unapo tumwa manake naamini kabs umetumwa kuleta upuuzi humu jamvin jaribu kuchanganya na zako,usiwe unakurupuka tu matokeo yake ndo unakutan na haya uliyokutana nayo leo,na ukiuza utumbo usiogope inzi
 
Kuna mwana CCM yoyote anaweza kuzungumzia rushwa au ufisadi?. Huwezi kukaa tawi ulilokalia!. CCM ni rushwa na ufisadi, na ufisadi na rushwa ndio CCM yenyewe!. EL hana sababu yoyote ya kuzungumzia rushwa na ufisadi!.

Kiukweli sisi Watanzania tumeishaizoea rushwa na ufisadi mpaka sio tatizo tena kwetu na 2015 tutaichagua tena CCM kwa kishindo pamoja marushwa yake yote!.
Pasco
 
Mkuu Pasco mimi naamini wapo wana CCM wasafi. Wana CCM wasiokula rushwa wapo. Tatizo lililopo ni kuwa wanajipambanua wao kama wao badala ya sifa hiyo njema kubebwa na Chama.

Rushwa ndani ya CCM imekuwa ni kama pumzi ya uhai ya chama. İn absence of rushwa CCM haiexist.

Lakini wana CCM 'wasafi' wapo. Hata wewe ni mmojawapo wa wana CCM wasafi. Vibahasha sio rushwa so hujachafuka mkuu Pasco
 
Last edited by a moderator:
Jembe la kuzolea mavi, jembe la kukwapua raslimali za Taifa. Ndio maana Nyerere alisema halifai kwa urais.

Lowassa ni mfano wa viongozi wachache wenye uwezo wa kuiongoza Tanzania despite of all allegations against him. Kwa hali ya sasa ilivyo tunahitaji mtu mwenye 'kaliba' ya Lowassa.
Laiti Lowassa angekaa madarakani kwa miezi 12 zaidi angeshamfunika Kikwete.

Kwa upinzani mwenye 'kaliba' ya Lowassa ni Slaa peke yake.
 
Lowasa kanjanja ss atazungumzije ufisadi na rushwa. Alizozichanga kupitia richmond baada ya kujitengenezea kampuni feki yeye rostam na kikwete ndo hizo anazopita kututambia nazo cc watz. Jnajua lowasa anatuona watz mafala sn....
 
Mkuu Pasco mimi naamini wapo wana CCM wasafi. Wana CCM wasiokula rushwa wapo. Tatizo lililopo ni kuwa wanajipambanua wao kama wao badala ya sifa hiyo njema kubebwa na Chama.

Rushwa ndani ya CCM imekuwa ni kama pumzi ya uhai ya chama. İn absence of rushwa CCM haiexist.

Lakini wana CCM 'wasafi' wapo. Hata wewe ni mmojawapo wa wana CCM wasafi. Vibahasha sio rushwa so hujachafuka mkuu Pasco
Mkuu Mzito K, ntake radhi!.
Pasco.
 
mbna hapo hujatukanwa,hapo nimekusifia tu!!ukitukanwa utasemaje?hayo uliyokuw unayaandka hapo huyaoni!!hpo nilikuw najaribu kukueleza ukweli,ulivyoleta uzi huu wala lengo lako ilikuw ciyo kuleta hoja ijadiliwe.lengo ni umetumika kuleta upuuzi wa kumchafua lowassa humu jamvin,kwahyo ulichokipata ninsaiz yako kabs!!usifikir ww tu ndo mwenye uwezo wa kuandka matusi,tuna uwezo wa kukutusi mpak sehem ya kiungo ambacho kiko kwa mzaz aliyekuzaa,na tuka kuambia kikoje,
ni tumekustahi tu!!wakat mwingen unapo tumwa manake naamini kabs umetumwa kuleta upuuzi humu jamvin jaribu kuchanganya na zako,usiwe unakurupuka tu matokeo yake ndo unakutan na haya uliyokutana nayo leo,na ukiuza utumbo usiogope inzi

Sikiliza wewe Ng'ombe wa Kienyeji! Matusi huwa siogopi wala kupigwa ban siwazii!
Tunajuwa kuwa siku zote Unachimbwa kwa nyuma. Umekuwa kama Sindano inayowekwa "Uzi"kwa nyuma halafu inashona kwa mbele!!

Situmiki na mtu yeyote km wewe na ndio maana umeona kuwa hoja zangu siku zote hazijikiti ktk kumsifia mtu awaye yote. Kwa kifupi tu labda uwaombe uongozi wa JF wakupe mada zote ambazo niliwahi kupost humu km kuna hata moja ambayo niliwahi msifia mtu.

Wewe unajulikana kuwa kazi yako kubwa ni kumsifia Mwanaume mwenzio siku zote! Lowassa mwenyewe unaejaribu kumtetea ni sawa na unafanya kazi bure kwani uchafu uliomgandia haubanduki hata kwa Msasa wa Chuma.

Nilipost hoja na hata km nilimtaja Lowassa kwani kuna shida gani hadi wewe ufikie mahali badala ya kujibu kwa hoja unaniambia eti hata Mke wangu akilala anamuota Lowassa!
Km unadhani wewe mke wa Lowassa unamuota kila mara ni kila mtu anamuota? Lazima wewe umuote kwa kuwa tayari kuna unalofaidika nalo kutoka kwake.
Wenzako huwa hatuwatetei wanaume wenzetu,na ukiona mtu mwenye tabia km zako basi tambua kuwa huyo anatumika km Condom!
Huna mamlaka wewe ya kukataza watu kumjadili Lowassa. Wewe ni nani hata uwe kimbelembele kiasi hiki kumtetea Mwanaume mwenzio? Je wewe kweli ni Riziki?
Wacha ujinga km unataka kumtetea Mumeo basi mtetee kwa hoja.halafu kuwatusi Wazazi huo sio ujanja ni Usengelenyuma. Wewe mwenyewe umezaliwa na hao hao unaowatusi nashangaa!!
 
mnataka mjibiwe kistaarabu,bs muwe mnaleta hoja ambazo nizakistaarabu,ukileta utumbo unajibiwa kiutumbo zaid

Pole kwa kuwa bado hujajitambua! Hoja ipi iliyokua sio ya kistaarabu,au na wewe ndio wale wale ambao hawana tofauti na Sindano inayowekwa Uzi kwa nyuma halafu inashona kwa mbele?
Huwa nashangaa na kujiuliza hivi watu km nyie mnalipwa bei gani kushinda humu kwenye mitandao kutetea Upuuzi?
Maana km ni ajira kweli imepata waajiriwa!
 
Sikiliza wewe Ng'ombe wa Kienyeji! Matusi huwa siogopi wala kupigwa ban siwazii!
Tunajuwa kuwa siku zote Unachimbwa kwa nyuma. Umekuwa kama Sindano inayowekwa "Uzi"kwa nyuma halafu inashona kwa mbele!!

Situmiki na mtu yeyote km wewe na ndio maana umeona kuwa hoja zangu siku zote hazijikiti ktk kumsifia mtu awaye yote. Kwa kifupi tu labda uwaombe uongozi wa JF wakupe mada zote ambazo niliwahi kupost humu km kuna hata moja ambayo niliwahi msifia mtu.

Wewe unajulikana kuwa kazi yako kubwa ni kumsifia Mwanaume mwenzio siku zote! Lowassa mwenyewe unaejaribu kumtetea ni sawa na unafanya kazi bure kwani uchafu uliomgandia haubanduki hata kwa Msasa wa Chuma.

Nilipost hoja na hata km nilimtaja Lowassa kwani kuna shida gani hadi wewe ufikie mahali badala ya kujibu kwa hoja unaniambia eti hata Mke wangu akilala anamuota Lowassa!
Km unadhani wewe mke wa Lowassa unamuota kila mara ni kila mtu anamuota? Lazima wewe umuote kwa kuwa tayari kuna unalofaidika nalo kutoka kwake.
Wenzako huwa hatuwatetei wanaume wenzetu,na ukiona mtu mwenye tabia km zako basi tambua kuwa huyo anatumika km Condom!
Huna mamlaka wewe ya kukataza watu kumjadili Lowassa. Wewe ni nani hata uwe kimbelembele kiasi hiki kumtetea Mwanaume mwenzio? Je wewe kweli ni Riziki?
Wacha ujinga km unataka kumtetea Mumeo basi mtetee kwa hoja.halafu kuwatusi Wazazi huo sio ujanja ni Usengelenyuma. Wewe mwenyewe umezaliwa na hao hao unaowatusi nashangaa!!

SAFI SANA , HIYO ULIYOMPA HUYO KIROLIT INAITWA LUGHA YA KUFUNDISHIA ! CC - yOUNG TANZANIAN
 
SAFI SANA , HIYO ULIYOMPA HUYO KIROLIT INAITWA LUGHA YA KUFUNDISHIA ! CC - yOUNG TANZANIAN

Nakukubali Kamanda!! Unajua huyu Msukule wa Lowassa anaejiita Kilorit ni kiumbe cha ajabu sana? Mimi nimepost mada badala ya kukosoa kwa hoja anaanza kunishambulia kwa matusi. Soma koment yake ya kwanza kabisa kwenye ukurasa wa kwanza uone alichoandika wakati anachangia.

Mimi huwa siwalei hawa Ng'ombe.akija kichwa kichwa basi na mimi nampokea hivyo hivyo. Watu wanakaa kumtetea Fisadi asie na haya halafu bado wanataka kutuingiza na wengine ktk ujinga wao huo. Nasema hatukubali!!!!!
 
Back
Top Bottom