Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Suala la Ufisadi ni kama donda ndugu kwa lowassa.Hili ndio doa pekee lililomuangusha kwenye ambition yake ya urais.
 
Ya Lowassa haipo, ya B. Membe ndo kabisaaaa!

Membe aliushangaza ulimwengu aliposema "anachukiwa na mafisadi". Loh, hivi kwenye Bunge la Escrow alikuwemo hakuwemo, kama kweli anachukiwa atupe nukuu kiduchu aliyoitoa kukemea mafisadi wale.
 
Kila nikiamka asubuhi naskia lowassa,nikienda Lala lowassa,duhh naiyona njia nyeupe kwa lowassa kuingia ikulu,na nilishasema kadri mnavyomtaja lowassa kwa ubaya au uzuri ndio mnazidi kumpaisha
 
huwezi ipata yeye ndiye mkuu wao na anategemea ufisadi kumwingiza ikulu ndiyo maana anagawa pesa ,bujibuji hukusikia matusi aliyofanya zanzibar
 
Back
Top Bottom