Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

anayepinga kuwa Lowassa si bora kwa CCM 2015 atueleze ndani ya yupi mwenye nafuu zaidi ya Lowassa (AU NANI ASIYE NA TUHUMA NDANI YA CCM?)
Inasikitisha sana wa tz tunapoingia miaka 50 huku tunaangalia wa kutuongoza mwenye tuhuma zinazovumilika na wananchi maana wote wameoza.
 
Hakuna msafi ktk hii Dunia,kila mtu ni mchafu ila tu tunatofautiana ktk uchafu huo

Kwa upande wangu Namkubari Mh Lowasa ana faa kuwa Raisi wa hii nchi 2015

Lowasa anafaa na anauwezo wa kuiongoza nchii hii
 
kwa katiba hii ambayo tayari imeshakuwa drafted bado kuwaaproved sioni pahala EL atakapokwamishwa kunusa upepo wa ferry!

jk mwenyewe jana pale ddm kakubali yaishe! nakama sio mkapa kuokoa jahazi, nepi alishavuliwa utupu kwa hoja ya kuasisi ccj.
 
Yaan hapa ndugu zangu uongo ni mba
ya sisi tuendelee kutega vichwa na kuendelea kunyolewa ujanja hapa haupo na hawa watu tayari wamejiandaa kwa namna zotetunazozijua na zisizo julikana hata kidogo watu hata aibu hawaoni kuendelea kukandamiza watanzania na kodi zao kwa nguvu kama vile hawaoni kumbe wanaona.
 
Kwani lowasa ni kiongozi pekee anayeonekana kuweza kuongoza watanzania wanaokubali kuibiwa mufa wote?jamani achen kukarir vyuo vinatoa kila mwaka vijana wengi tena wazuri sana hawa wanaosemekena mafisadi sio watu wazuri mianya yote ya kutuibia wanaojua kwa nini tena turudi nyuma wakati ukweli unajionyesha?tuna maprofesa wazuri kbsa hapa nchini lakin kwa sababu ya watu wenye uwezo wa kifedha imekuwa mufa wote ni kubana ukweli halisi na maovu yao yasijulikane ah wanakera sana jaman
 
hakuna aliye msafi ndani ya magamba, nadhani suala hapa ni nani anaweza kusimama mbele ya nguvu ya uma na akawa na mvuto. EL IS THE SOLUTION.
 
Hata mimi ni chadema damu lakini huyu lowasa ndio chaguo langu tu hapo 2015.tunataka rais anayejimini na jasiri kama alivyo huyu lowasa.
 
Hakuna msafi ktk hii Dunia,kila mtu ni mchafu ila tu tunatofautiana ktk uchafu huo

Kwa upande wangu Namkubari Mh Lowasa ana faa kuwa Raisi wa hii nchi 2015

Lowasa anafaa na anauwezo wa kuiongoza nchii hii

Hebu potea haraka usijekutwa ukiongea upupu huo kidogo ningekuelewa kama ungesema kuwa ana kaunafuu ukimlinganisha na huyu wa sasa ila kuhusu uwezo au kufaa hapo hapana. Hata hivyo mkojo hauwezi kusafishwa na uchafu wa kinyesi
 
Aisee, peke yake?!? Kwa hiyo sisi wengine tutakuwa tutakwua mguu juu wakati jamaa akitutumika. Huyo ndiye kiongozi tunayemtaka. Mbona nimechelewa, ngoja nianze kumsapoti Lowassa kuanzia leo... Lowassa for 2015
 
Natumaini sasa hapa tunaanza utani badala ya kuwa serious na issue.......hivi huyu mbona of late mnampigia kampeni sana hapa sio forum ya hivyo.......!! acheni chama chenyewe kilete jina sio mtu ama kundi la watu, IKULU kuna nini ??:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom