Kwanini kuwa mbali na Dar inaonekana kama adhabu kwenye bidhaa ya mafuta?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm,

Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya mafuta Tanzania nzima?

Kwanini kuwa mbali na Dsm igeuke adhabu?
 
Hata vocha za mitandaoni yote ya simu ni bei moja nchi nzima. Lkn mafuta eti bei yake inategemea umbali na DSM.

Kama dhana ya EWURA ingekuwa ni kwa bidhaa zote watu wa Kagera, Morogoro (Mtibwa na Kilombero) wangekuwa wakinunua sukari kilo moja shilingi 200.
 
Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm,

Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya mafuta Tanzania nzima?

Kwanini kuwa mbali na Dsm igeuke adhabu?

Hai ndiyo serikali ya CCM kwenye ubora wao
 
Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm,

Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya mafuta Tanzania nzima?

Kwanini kuwa mbali na Dsm igeuke adhabu?
Uko sawa, ni uvivu wa serikali. Serikali ina uwezo wa kufanya bei ya mafuta iwe moja nchi nzima. Coca cola, pepsi na bia bei ni moja nchi nzima bila kujali imezalishwa mkoa upi.
 
Back
Top Bottom