CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,087
Wakuu, nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.
Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakini hawajaolewa na wana watoto hili jambo limechangiwa na nini hasa??