Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
Mwana JF Hofstede amekueleza baadhi ya roles za serikali. Lakini ili tufanye vitu objectively nitakuwa ktk fasi nzuri kufanya hiyvo (kukufahamisha role ya serikali specifically)ukitoa orodha ya mambo ambayo unadai serikali inalaumiwa sana kwayo...mimi si mwanasiasa ila nina mitizamo yangu tu kwa hiyo nisaidie kubadilisha mitizamo yangu kwani mpaka sasa hujafanikiwa inawezekana nina tatizo la kutoelewa haraka embu weka hapa role za serikali na wananchi unavyoelewa wewe?ili kunielewesha zaidi