Kwanini kila ajali ya basi la mohamed inahusisha kupasuka tairi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,834
Kama ni imani za kishirikina hili liko dhahiri na wazi kabisa.
Kila ajali inayohusisha mabasi ya mohamed, utasikia tairi lilipasuka.
Kila mwaka wanauwa watu wengi mno ambao wamefanya kosa kubwa moja la kuiamini mohamed trans na kuwalipa nauli ili wafike kwao.
Jamani hawa mohamed hawajifunzi kutokana na makosa, kwanini wasitafute matairi imara na madhubuti ambayo wasafirishaji wengine wamekuwa wakiyatumia?
 
siuamini ushirikina ila hili nalo linanitia wasiwasi hawa jamaa si walikuwa wamefungiwa juzi juzi tu hapa? well cha muhimu kwa watanzania ni kususia magari yenye sifa mbaya ili wajirekebishe, na yale yenye sifa nzuri kuzidisha sifa zao ili wasiharibu biashara
 
Do sijui watakubali nirudishe tiketi yao kwani nimekata kusafiri kesho na hilo limeniogofya:(
 
siuamini ushirikina ila hili nalo linanitia wasiwasi hawa jamaa si walikuwa wamefungiwa juzi juzi tu hapa? well cha muhimu kwa watanzania ni kususia magari yenye sifa mbaya ili wajirekebishe, na yale yenye sifa nzuri kuzidisha sifa zao ili wasiharibu biashara
Well said Naniliu, kweli inatia mashaka why why why????? innocent people wanapoteza maisha bila sababu za msingi, too sad.
 
tatizo la Tanzania ni moja, hatufanyi utafiti kabla ya janga kutokea, maana basi za Mohamedi Trans mara mbili nakumbuka zimekula mzinga na ikidaiwa chanzo ni tairi sasa husika mamlaka husika zimefanya utafiti kujua ukweli juu ya matatizo ya matairi yanayolalamikiwa. ? au tunaendelea kusubiri mamia yawatu waendelee kuangamia, ni kama tumelaaniwa sijui.
kweli mimi nashangaa, utaona mara basi zinafungiwa kupisha uchunguzi halafu mara basi zinasamehewa.
 
huwa sipandi magari yenye MAJINA ya ajabu ajabu.
 
Kule Singida basi lao liliungua majivu na kuondoka na maisha ya rafiki yangu kipenzi, aliyekuwa mwanafunzi wa IFM!
hAKIKA KUNA KITU FULANI cha siri na hawa watu.
Nauogopa sana utajiri wa wabongo!
 
So hurting!! I dont believe kwamba ni kafara! can someone really sacriffice so much ppl for money? no please let not that thing cross my mind!
Angalizo Usalama barabarani--- Acheni usaniii. Sidhani kama jamaa alikua anatembea mwendo wa 80km/hr. Hilo tairi lazima lilipasuka kwaajili ya mwendo kasi, na ndio maana hata Dereva akashindwa kulimudu gari!
Usalama barabarani, what is your next step to make sure passanger vehicles go at the said speed of 80kms/hr?
Am sure you will be somehow stricts in this two weeks! kama mlivyokua strict siku za mwanzo ilivyotokea ile ajali ya Tanga! Then in one months time mshasau watu wanakamua spidi kama kawaida!!!
 
Kama ni imani za kishirikina hili liko dhahiri na wazi kabisa.
Kila ajali inayohusisha mabasi ya mohamed, utasikia tairi lilipasuka.
Kila mwaka wanauwa watu wengi mno ambao wamefanya kosa kubwa moja la kuiamini mohamed trans na kuwalipa nauli ili wafike kwao.
Jamani hawa mohamed hawajifunzi kutokana na makosa, kwanini wasitafute matairi imara na madhubuti ambayo wasafirishaji wengine wamekuwa wakiyatumia?

unategemea kama wanaweak matairi used yatahimili kweli
 
Kule Singida basi lao liliungua majivu na kuondoka na maisha ya rafiki yangu kipenzi, aliyekuwa mwanafunzi wa IFM!
hAKIKA KUNA KITU FULANI cha siri na hawa watu.
Nauogopa sana utajiri wa wabongo!

Nadhani tumetumikia adhabu moja kutoka katika hili basi ndugu yangu. Am speechless!
 
wewe issa tafuta mtoto na uache kutoa watu kafara.Muombe MUNGU akupatie watoto na utajiri wote huo bado unataka utajiri uongenzeke kwa ktoa watu kafara?
 
So hurting!! I dont believe kwamba ni kafara! can someone really sacriffice so much ppl for money? no please let not that thing cross my mind!
Angalizo Usalama barabarani--- Acheni usaniii. Sidhani kama jamaa alikua anatembea mwendo wa 80km/hr. Hilo tairi lazima lilipasuka kwaajili ya mwendo kasi, na ndio maana hata Dereva akashindwa kulimudu gari!
Usalama barabarani, what is your next step to make sure passanger vehicles go at the said speed of 80kms/hr?
Am sure you will be somehow stricts in this two weeks! kama mlivyokua strict siku za mwanzo ilivyotokea ile ajali ya Tanga! Then in one months time mshasau watu wanakamua spidi kama kawaida!!!

Halafu niongezee/nieulize ni same ipi ambayo ajali hii imetokea maana kuna sehemukati ya Hedaru na Mwanga pana UPEPO mkali sana ambao hata gari kubwa kiasi gani hupaswi kwenda speed kubwa ni 50km/hr madereva huwa hawazingatii sehemu hiyo kabisa mwishowe ni kusukumwa na upepo n akuyumba barabarani nishawahi ona hii kidogo tupate ajali mbaya sana
 
lets stop thinking non sense, how will we be different from those who were there during maji maji war{uchawiiiiiiii} , lets think technically and scientifically; matairi wanayotumia kweli yanaubora? kama hayana vyombo vyetu vinafanya nini?; na kama waliwafungia miezi mitatu walikuwa wanawafanyia nini ?
kwa hiyo miezi mitatu waliwafungia wakabadilisha root baada ya muda kwisha wakarudisha mabasi yaleyale mabovu katika root hii.
HUU NI UZEMBE WA WATENDAJI WETU WASERIKALI WANAFANYA MAMBO BILA KUFIKIRI WATU WASIO NAHATIA WANAPOTEZA MAISHA, HAINA LOGIC KUFUNGIA MABASI MIEZI MITATU HALAFU TATIZO LILE LILE LINAJIRUDIA BAADAE AU NAO WANAWAZA UCHAWI
 
Alieleza yule meneja wa Mohamed Trans,au la bada alikuwa ni meneja wa basi lingine ambalo tairi lilipasuka. Alisema wao hawawezi kulaumiwa kama tairi lilipasuka. Wa kulaumiwa ni Kampuni iliyotengeneza yale matairi,kwa sababu wao waliweka tairi jipya ,lakini hilo tairi limepasuka.
Kutokea hapo,katika maelezo hayo,tunaweza kuona tatizo liko wapi. Nadhani wote ambao tunasafiri na haya mabasi tunafahamu. Mnafika katika kituo cha kupima uzito,dereva anasema shukeni,halafu mtapanda basi baada ya kupima uzito,au kama abiria wamesimama,wanaambiaw,kwamba wasogee mbele,kwa sababu wakiwa nyuma,uzito unaongezeka katika mizani. Sasa,kwa tabia za namna hiyo,do we nee to look any further for the cause of these accidents?
 
visingizio huwa haviwaishii hwa watu, kwani matairi wanayotumia yanaagizwa kutoka china? gari ikiwa kwenye mwendo mzuri hata tairi likipasuka madhara yake hayawezi kuwa mabaya kiasi hicho...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom