Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

tatizo ni Hamas,
Ku support Hamas ni vigumu sana, wana stance ambayo ni very radical .. Mahmood Abbas is very close to JK na hao ndiyo watu wa PLO ambao msimamo wao ni State ya Palestine na 67 borders.
Sasa Hamas wana msimamo wa Kuwaondoa wayahudi kabisa kwenye ardhi ya waarabu. Hard to reconcile.
Sijui kama JK alireason kama wewe,lakini ni kweli kabisa kuwa kuisapoti Hamas ndiyo shida.Hamas hawataki suluhu,wao ni "Israel out",period!Hata sheria zao naona kama ni za kitaliban.Na ukweli ni kwamba wananchi wengi walipatwa na hofu baada ya Hamas kushinda.Chini ya uongozi wao ni sharia law.
 
Israel is an ally of USA
Israel is not an ally of Palestina
Israel is an ally of Tanzania
Sasa JK hajipendi mpaka aingie kwenye ungomvi na mabwana wakubwa. Hukumbuki kuhusu zile meli za Iran?
Kipindi cha nyerere ni tofauti sana na sasa kwani taifa moja limetawala dunia nzima tofauti na kipindi kile cha
akina Nyerere, Castro na Mugabe. USA na washirika wake ni wababe sana.

Acha uongo wewe! Israel is not an ally of TZ ata na wao wanalijua hilo ata na ubalozi na wao HATUNA.....JK mbona alishawahi kuwasemea wa PALESTINA kwenye mkutano wa UN kua haipendezi kuendelea kuwakalia kimabavu na suluhu ya kudumu ni muhimu...Na by the way all NAM members wame denounce hii hujuma ya Israel dhidi ya Taifa lisilokua na kifaru ata kimoja wala ndege zaidi ya firecrack rocket na wangepata Missile nadhani equation ingechange kwani km hizi rockets zimeweza penetrate just only 1/5th Iron Dome ndo imeweza intercept
 
Tatizo Hamas wako kiimani zaidi ya kiubinadamu. Hilo ndo tatizo kubwa.
 
Hili ni swali la ugomvi ka Ijumaa hii. Nyerere alitumia majukwaa yote aliyoyapata kutetea haki ya Wapalestina kuwa na nchi yao wenyewe. Alikataa "uvamizi" wa Israel. Kwa miaka karibu saba ya JK hatujamsikia akitoa msimamo wa Tanzania kuhusiana na harakati za Wapelestina. Kwanini?

mbona mkapa na mwinyi hujawataja?
 
kwa kiongozi mwenye akili na anayejua strength ya israel,anakaa kimya na kutazama tu,Israel is in the next level when you look at military,economics,technology,academics etc,anayeweza kupigana na waisraeli ni MUNGU peke yake.
 
Usitudanganye Israeli bila Marekani is Just another Somali....
Unakumbuka Mwaka 2006 walipojaribu kwenda Kumuokoa Mwenzao Kule Lebanon ?
Mgambo wa Hizibullah waliwapa Kichapo hadi walijuta kwa nini walianzisha ule ugomvi
 
dunia imebadilika sana tokea hapo hata nyerere aliona kasi ya ulaya magharibi inatisha. Lakini mie nashangaa kwanini kila mtu anashabikia vikwazo dhidi ya Israel wakati hamas wanafanya double attrocity. wakipigwa wanatumia mwamvuli wa international support kujiandaa tena kujipanga zaidi tunawaona wakiongezeka nguvu kila mwaka. I personally support Israel.

Aidha ni kwa sababu ya ujinga (kwamba hujui historia ya tatizo hilo na hutaki kusoma) au ni kwa sababu wewe ni mtu usieamini haki.
 
Mzee mwanakijiji sasa nitakuita Mzee mwanakitongoji.

Nafahamu umeleta uchokozi tu kwani wewe Binafsi unafahamu Israel ni baba wa yote hakunaga wote hao Palestina sijui Kikwete Rais wako, wako under the big nation Israel the power of the World, tuwaache Wapalestina waadabishwe maake waliwachokoza wakubwa. Hivi unafahamu zile nchi sita za United of Emareti uliwasikia wakiongea au kutoa taamko jibu ni no noooooo so Ulimwengu unafahamu kuwa Wapalestina/Hamas ni wachokozi.

Kuhusu Kiwete huyu bwana yeye nchi yake tu imemshinda so atatoaje taamko wakati amekaliwa pale na Wamalawi, kashindwa kushitaki Mafisadi wenziwe sasa tamko la mbali hukooo ataanzaje?
 
Hili ni swali la ugomvi ka Ijumaa hii. Nyerere alitumia majukwaa yote aliyoyapata kutetea haki ya Wapalestina kuwa na nchi yao wenyewe. Alikataa "uvamizi" wa Israel. Kwa miaka karibu saba ya JK hatujamsikia akitoa msimamo wa Tanzania kuhusiana na harakati za Wapelestina. Kwanini?

Labda haelewi hawa watu wanagombea nini, msimlaumu
 
Aidha ni kwa sababu ya ujinga (kwamba hujui historia ya tatizo hilo na hutaki kusoma) au ni kwa sababu wewe ni mtu usieamini haki.

Haaaah umerudi Sijali. Hebu nijuze tatizo ni nini? Mie najua Hamas hawataki kutambua jewish state kama alivyoitambuaYesser Arafat na Sadat. Historia ya ulaya magharibi, mashariki na hasa mashariki ya kati is complicated at best. I would appreciate an insight into this perculier never ending conflict please. Usiweke ule ushabiki wa dini wa siku zote plz. be professional and brief.
 
Sio tu tu kwamba mtoa mada haijui vizuri Israeli bali hajuhi hata mgogoro wenyewe kama nyerere alivyokua hajui
 
Kweli ukipenda ,Chongo Huita Kengeza ....Yani watu wanaitwa PUNDA na WATUMWA lakini Bado wanamtetea Bwana wao...
Ngoja na Mimi nianzishe Kikundi cha ku-support Ubaguzi wa rangi huko Afrika Kusini.

Hakuna cha Radical wala Secular JEWS...wote kwa pamoja wanawaona Binadamu wengine ni Punda na WATUMWA

Kweli mapenzi yakizidi hutia upofu...wewe watetee hawa watu ukishamaliza bonyeza chini hapa

RACISM IN ISRAELI

Genesis 16:12 ni metaphor inayomfananisha Ishmael na punda mwitu imebebewa bango sana ila what is writen is writen hata ktk quran. Si ajabu waarabu wa kisasa wakashupalia hilo.

Lakini hata quran pia inatumia mifano ya punda na watu.

Surah 62:5

"The likeness of those who were charged with the (obligations of the) mosaic law (Torah), but who subsequently failed in those (obligations), is as the likeness of the donkey which carries books (but understands them not). evil is the likeness of the people who falsify the signs of Allah (reject the communications of Allah): and Allah guides not the unjust people who do wrong."

This verse is general for any man not only for the Jews.

One can say that:

The likeness of Christians who were charged with the Gospel but who subsequently failed in is as the likeness of the donkey which carries books; and, the likeness of Muslims who were charged with the Quran but who subsequently failed in is as the likeness of the donkey which carries books.

The harshest of all voices is the voice of the donkeys.

Surah 31:19

"And pursue the right course in your going about and lower your voice; surely the harshest of all voices is the voice of the donkeys."
.....

Hata bible inatumia mifano : mfano wa kondoo na mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo. So kama hujui mtu akikuita kondoo waeza mind wakati its all relative.
 
Yani Nukuu zote hizi kuwatetea hawa watu ?
ISRAELI IS A LUNATIC STATE

Halafu wakiambiwa Ukweli wanaanza kuleta habari za Holocaust
[h=1]Jewish girl tries to criticise Dr. Norman Finkelstein

Bonyeza Hapa uwaone hawa Terrorists

Kwa ujumla nyerere wa Right about these Hooligans[/h]
 
Hili ni swali la ugomvi ka Ijumaa hii. Nyerere alitumia majukwaa yote aliyoyapata kutetea haki ya Wapalestina kuwa na nchi yao wenyewe. Alikataa "uvamizi" wa Israel. Kwa miaka karibu saba ya JK hatujamsikia akitoa msimamo wa Tanzania kuhusiana na harakati za Wapelestina. Kwanini?
....mambo ya waarabu waachie waarabu wenyewe...period
 
Jews mpaka leo hawamtambui Yesu wala Ukristo, in fact wakati huo waliridhia jambazi Baraba aachiwe huru kuliko kumuachia huru Bwana Yesu, wao ndo walidai kwa kishindo kuwa asulubiwe, (moja ya sababu alizozitoa Mkatoliki Hitler za kutaka kuwaangamiza Wayahudi wote duniani {The Holocaust}) Waislam wanamtambua na kumtukuza Bw Yesu na Mama yake amepewa utukufu wa pekee ndani ya Qur'an (kuna Sura nzima inaitwa Suratul Mariam) lakini cha kushangaza ni jinsi Wakristo wanavyouchukia Uislam na kujikomba kwa Wayahudi, nashindwa kabisa kuelewa.

Suala la Israeli na Palestina sio la kidini, kwani kuna Waisraeli ambao ni Waarabu na Waislamu, na kuna Wapelestina ambao ni Wakristo. Tatizo ni kuwa Jews (Wayahudi) ndio wametamalaki Taifa la Israel na hawatambui haki hata za kuishi za binadamu yoyote asiekuwa Jew, sembuse kutambua haki ya kuwepo Taifa la Palestina. Wao kama wao, hawana ubavu wa kupambana na wapiganaji wasioogopa kufa wa Kipalestina, bali wanaringia nguvu na teknolojia ya Marekani.
 
Mkuu wangu muhimu utazame undani wa hiyo hiyo Marekani kwa nini wanalazimika kuipa support Israel. Kiuchumi nchi hiyo imekuwa controlled na Wayahudi, na naweza kusema Ulaya yote..Hivyo pasipo Wayahudi, hiyo Marekani sio Marekani tuijuayo...
 
Sio kweli, kwani Marekani ilikuwepo na maguvu yake hata kabla Wayahudi hawajahamia huko kwa wingi na hata kabla taifa la Israeli halijaundwa kama lilivyo sasa (1945) ila umuhimu wa Israel kwa Marekani ni kuwa ndio ngome yake kuu dhidi ya mataifa tajiri kwa mafuta ya Mashariki ya Kati. Amerika itakapoondoa au kupunguza sana utegemezi wake wa mafuta kutoka nje (kama inavyojiandaa katika sera zake mpya) basi hata umuhimu wa Israel kwake utapungua.
 
Si kila alichofanya Nyerere ni sahihi, na si kila alichofanya Nyerere kila kiongozi akifuate. Dunia imebadilika, mambo yako tofauti sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom