jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,007
- 22,549
Sijui kama JK alireason kama wewe,lakini ni kweli kabisa kuwa kuisapoti Hamas ndiyo shida.Hamas hawataki suluhu,wao ni "Israel out",period!Hata sheria zao naona kama ni za kitaliban.Na ukweli ni kwamba wananchi wengi walipatwa na hofu baada ya Hamas kushinda.Chini ya uongozi wao ni sharia law.tatizo ni Hamas,
Ku support Hamas ni vigumu sana, wana stance ambayo ni very radical .. Mahmood Abbas is very close to JK na hao ndiyo watu wa PLO ambao msimamo wao ni State ya Palestine na 67 borders.
Sasa Hamas wana msimamo wa Kuwaondoa wayahudi kabisa kwenye ardhi ya waarabu. Hard to reconcile.