Kwanini Kikwete asiwakamate na Kuwafunga Lowassa na RA?

Jamani huo sasa ni muhali. Kumtaka JK awakamate washikaji zake ni sawa na kumtaka ng'ombe dume a toe maziwa, haiwezekani asilani. Hivi mkuu wewe unaweza kata mkono unaokulisha?
 
Uwezo anao?angekuwa NYERERE wote wangekuwa wanavaa sare za wafungwa maana kesi zao zisingecheleweshwa mahakamani
 
Sidhani kama jk ana moral authority ya kumkamata lowasa, roastam na chenge -ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko ccm kuwatosa mapacha watatu.
 
Back
Top Bottom