MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania, itimisho nililofikia ni kuwa Mh. Kikwete anaofu ya waziwazi na Dr.slaa....ninachojiuliza ni kwanini ilihali yeye ndo mkuu wa hii nchi?...naomba nirejee sababu zilizosababisha nifikie katika hitimisho hili...kwanza kikwete amevumisha uvumi wa kidini na zaidi akimutuhumu dr slaa as the initiotor akiwaacha wagombea wengine....pili rejea matusi aliyoyatoa mwandishi wa raisi pale dr slaa amemtuhumu kikwete kuwa ndo mumiliki wa DOWANS...Ukifuatilia hotuba ya kitwete katika maadhimisho ya miaka 34 ya uwepo wake ilikuwa na maneno mengi ambayo moja kwa moja yalikukuwa yanamgusa moja kwa moja dr slaa. suala la migomo ya wanafunzi limekuwa associated na ushawishi wa slaa....Je slaa ana siri nyingi ambazo kikwete anausika ambazo anaogopa kuwa wakati wowote slaa atamuhumbua? je kikwete anaogopa upeo na ujengaji hoja wa slaa ambao kwa wasomi wengi wanamkubari?...kikwete CHADEMA si slaa pekee..kumbuka kuwa pana kijana aitwae Tundu Lisu ambae ni zaidi ya akina slaa watano.....mtazame Mnyika, na wbunge takribani wote wa CHADEMA uwezi walinganisha kwa upeo na wabunge au viongozi wengi wa ccm like Makamba sidhani kama unaweza kuwa na wasiwasi wa slaa pekee....kwa nini umchukie mtu kama slaa ambae amekuw mkombozi wa wanyonge wengi ktk nchi hii? tafakari without this man who cld be awere of many skendos?.....