Kwanini Kikao Cha UKAWA hakina msisimko?

Ok rai yangu kwa mashabiki wa ccm ukibeza beza kwa hoja sio kwa kejeli.Imani yangu ni kwamba yeyote anayeitetea ccm anafaidika kwa namna moja au nyingine hamna jinsi ila kumbukeni mwenyekiti wenu amekiri kuwa ccm ina rasilimali nyingi lakini hazitumiwi kwa maslahi ya chama vipi sasa hivi muweze kutumia rasilimali za taifa kwa maslahi ya umma.
 
wajipange kutafuta viti vya ubunge maana mwenye magogoni ameshapatikana,
maana kipaombele chetu mwaka huu ni kwa umri wako umelifanyia nini taifa letu
 
Watanzania na Dunia nzima ilikuwa ikifuatilia kwa karibu saana mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM, hali hii imekuwa tofauti kabisa na michakato ya CDM, NCCR,NLD na CUF na hatimaye UKAWA. Bila shaka Watanzania kwa ujumla wao wameulinganisha michakato ya UKAWA kuwa ni sawa na Vikao vya Kamati za HARUSI tu, kwani watu wenyewe wachaaache, tena hata kamera za Wandishi wa habari kutoka Mataifa makubwa Duniani kama ilivyotokea kwa CCM hawapo kwenye Mchakato wa UKAWA. Je kuna haja gani kwa mtu mwenye busara na hekima kuamini kuwa kuna vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanzania? au kuna vyama vya kutafutia Ruzuku na umaarufu kama wanavyofanya akina Sugu, Lisu, Mbowe, Mnyika, Wenje n.k ?

kwa ukweli kabisa tuna safari ndefu kwa hiyo kazi wanayofanya wapinzani bungeni ni kutaka umaarufu duh bora sikupewa mali lakini huu uwezo wa kufikili unatosha sana
 
Unataka msisimko gani?

Subiri baada ya uchaguzi ndo utajua msisimko unaoutaka.
 
Watanzania na Dunia nzima ilikuwa ikifuatilia kwa karibu saana mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM, hali hii imekuwa tofauti kabisa na michakato ya CDM, NCCR,NLD na CUF na hatimaye UKAWA. Bila shaka Watanzania kwa ujumla wao wameulinganisha michakato ya UKAWA kuwa ni sawa na Vikao vya Kamati za HARUSI tu, kwani watu wenyewe wachaaache, tena hata kamera za Wandishi wa habari kutoka Mataifa makubwa Duniani kama ilivyotokea kwa CCM hawapo kwenye Mchakato wa UKAWA. Je kuna haja gani kwa mtu mwenye busara na hekima kuamini kuwa kuna vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanzania? au kuna vyama vya kutafutia Ruzuku na umaarufu kama wanavyofanya akina Sugu, Lisu, Mbowe, Mnyika, Wenje n.k ?

Soma blog ya michuzi.! Kama wewe hufatilii shauri yako. CCM ni chama kikubwa, chama tawala lazima watanzania wafatilie kwa kuwa ni potential contender. Kama EL asingekuwa kwenye gemu msisimko unngepungua naamini! Utakumbuka baada ya kubaki mwanaume mmoja na wanawake wawili msisimko ulipungua kwa kuwa kila mtu alijua the end itakuwaje
 
Watanzania na Dunia nzima ilikuwa ikifuatilia kwa karibu saana mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM, hali hii imekuwa tofauti kabisa na michakato ya CDM, NCCR,NLD na CUF na hatimaye UKAWA. Bila shaka Watanzania kwa ujumla wao wameulinganisha michakato ya UKAWA kuwa ni sawa na Vikao vya Kamati za HARUSI tu, kwani watu wenyewe wachaaache, tena hata kamera za Wandishi wa habari kutoka Mataifa makubwa Duniani kama ilivyotokea kwa CCM hawapo kwenye Mchakato wa UKAWA. Je kuna haja gani kwa mtu mwenye busara na hekima kuamini kuwa kuna vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanzania? au kuna vyama vya kutafutia Ruzuku na umaarufu kama wanavyofanya akina Sugu, Lisu, Mbowe, Mnyika, Wenje n.k ?

kitakacho-matter mwisho wa siku ni matokeo.

usisahau juzi tu hapa Lowasa alisababisha media frenzy (ambayo naweza na kuilinganisha na expression yako ya "msisimko") wakati wa kutafuta wadhamini.

je, ulisikia media ikitikisika hata kidogo Magufuli alipokuwa anapitia mchakato huo huo?

nakuachia ujaze mwenyewe yaliyobakia, ila nakushauri usiwabeze UKAWA kama watu walivyombeza Magufuli!
 
Ok rai yangu kwa mashabiki wa ccm ukibeza beza kwa hoja sio kwa kejeli.Imani yangu ni kwamba yeyote anayeitetea ccm anafaidika kwa namna moja au nyingine hamna jinsi ila kumbukeni mwenyekiti wenu amekiri kuwa ccm ina rasilimali nyingi lakini hazitumiwi kwa maslahi ya chama vipi sasa hivi muweze kutumia rasilimali za taifa kwa maslahi ya umma.

na anayeshabikia sacoss ya wagombania vyeo na madaraka ana
masilai nao.
 
Tulikuwa na shahuku ya kuangalia vituko, mizengwe, goli la mkono alilopigwa Lowasa na mabegi ya noti
 
Msisimko utatoka wapi wakati hakuna mauno ya kukata na shoka ya Khadija Kopa? Kama umeona Yale mauno alikuwa anashusha mama yule basi kama hujasisimka wewe sio rizki kabisa.
 
Back
Top Bottom