Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
Heshima kwenu wana jf.kwanza kabisa natoa shukrani kwa wote ambao mmekuwa mkitoa ushauri na maelekezo ya namna ya kutatua matatizo. Ndg zangu kuna jambo nimelisikia eti kati ya kesi 100 zinazofunguliwa polisi,ni kesi 40 tu ndizo ambazo hufikishwa mahakami na hizo 60 huishia polisi, eti sababu zipo nyingi ila 3. ndiyn kubwa 1. mlalamikaji kukwepa usumbu 2.kuogopa kugeukiwa na kesi. 3.kutojua sheria.je? Nikweli kesi nyingi hazifikishwi mahakamani kwa sababu hizo?kwa faida ya wengi naomba mnifafanulie hili.