Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

View attachment 214227
Tanzania inaweza kuiga ?bunduki ndefu kama hii unawinda gaidi ndani ya jengo la westgate?gaidi atapokonya?hii imeaandikwa kwenye guiness book of records.we are very sorry dear neighbours!

Sasa mwenzangu naona hoja imekulemea na ndio kawaida yenu mkishindwa huwa mnashuka hivi na kuanza hadi kupima urefu wa bunduki....duh kazi kweli. Haya wacha nikuache na hii hapa, kama una haja ya kujua askari wa kisasa wa Kenya
General+Service+Unit+Recce.jpg
 
Ninajua utaingia box taratibu, mradi wa laptop umekumbwa tu na ushindani wa tendering companies, ambapo ni jambo la kawaida kwenye mradi wowote mkubwa. Kama tu jinsi BVR kwenu imekua ngoma, mimi binafsi nilihusika kwenye bidding ya hiyo BVR kwenu na kwa hakika ni mchakato balaa.

sasa watoto wenu watasubiri mpaka lini hizo laptop?au mnafurahia kudanganywa na UK?huku BVR hatuitaki na haitafanikiwa.uli bid BVR?ume upgrade cv tu.
 
Sasa mwenzangu naona hoja imekulemea na ndio kawaida yenu mkishindwa huwa mnashuka hivi na kuanza hadi kupima urefu wa bunduki....duh kazi kweli. Haya wacha nikuache na hii hapa, kama una haja ya kujua askari wa kisasa wa Kenya
General+Service+Unit+Recce.jpg

mtaishia kutengeneza picha tu.wenu yule mwenye ndefu ya mita 2 na kuchukua simu,chocolate na biscuits na pipi ndani ya westgate.
 
wataalamu wanasema hivi mtu ni average ama wastani wa hali za marafiki zake watano,hivyo basi maendeleo yetu sisi yanaweza yasitofautiane sana na wastani wa maendeleo ua Nchi tano zinazotuzunguka,ndo maana maendeleo ya Nchi nchi nyingi yanaenda kikanda
 
Hapa nilijibu ile kauli ya TZ ni semi arid almost a half of country.Look at the picture TZ is surrounded by very great lakes,sea,rivers and swamps and dams!
yani unakurupuka kichizi na majibu yako!!!! Please read that comment 20 times if you have to, Hadi uielewe!!
 
yani unakurupuka kichizi na majibu yako!!!! Please read that comment 20 times if you have to, Hadi uielewe!!

Ni kwasababu hujui kiswahili vizuri.sentensi moja ina kiswahili,kingereza mpaka kikuyu na kijaruo.si unajua nyie hamjui kiswahili?
 
Anyway nadhani sikumuelewa vizuri alieniambia bajeti ya kenya ni mara 2 ya ile ya Tz.Hata hivyo hizo figure tu za kujiweka juu.laptop kwa kila mwanafunzi kenya wamepata?ni blaa blaaa tu,kama kenya inaweza ku afford $21.52Billion na zikafika kwenye huduma za wananchi tungeona kenya ikiwa kama ulaya.

Acha ubishi
Soma Kwa bidiii upate maarifa
 
Back
Top Bottom