Kwanini JWTZ walihusika??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
 
Wale wana pewa idhini na mkuu naona alifikili pengine polisi wake wangepata upinzani basi walikuja kuhitimisha game wao wamefuzwa vita.
 
Wale wana pewa idhini na mkuu naona alifikili pengine polisi wake wangepata upinzani basi walikuja kuhitimisha game wao wamefuzwa vita.
Uko sawa kabisa ule ni mkwala tu wa jemedari kwani waandamanaji wakiyaona tu yale mavazi wanajua hapa sipo tena...
 
Sasa tutaingilia maandamano yoyote ya kuhatarisha amani
Sunday, 21 October 2012 11:57

Patricia Kimelemeta na Pamela Chilongola
Mwananchi

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limewataka wananchi kulinda amani iliyopo na kuepuka vurugu zinazohatarisha usalama wa nchi.

Kauli hiyo, imekuja siku moja baada ya waumini wa dini ya Kiislamu jijini Dar es Salaam kuandamana kwenda Ikulu, ili kuishinikiza Serikali kumwachia Sheikh Issa Ponda na wafuasi wake 49 waliokamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma mbalimbali .

Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe, alisema hatua ya wanajeshi kujitokeza katika kuzima vurugu zilizotokea jijini juzi, ililenga katika kuwaonyesha wananchi kwamba JWTZ ipo kikazi zaidi, na kwamba anayetaka vurugu atashughulikiwa kisheria.

"Juzi tulionyesha‘talent show force' ili watujue kama tupo kazini, hata kama wametuona tupo kimya, hatuna mzaha katika kulinda na kusimamia ulinzi na usalama wa taifa hili, kwa hiyo tulikuwa kwenye sehemu ya utekelezaji wa majukumu yetu, na kwamba atakayekwenda kinyume tutamshughulikia," alisema Mgawe.

Alisema zoezi hilo ni endelevu kwa maandamano yoyote yatakayoonyesha dalili za kuhatarisha usalama wa nchi.

Msemaji wa huyo wa JWTZ alisema wanajeshi watashiriki kikamilifu ili kuhakikisha kuwa wananchi wanafuata sheria na taratibu zilizopangwa, bila ya kuathiri usalama wa nchi.

Alisema kwa sasa wanasubiri kibali cha polisi cha kuhusu kuhitaji msaada ili waweze kuungana nao katika kushughulikia maandamano yenye lengo la kuhatarisha amani na utulivu.

"Tunawataka wananchi kufuata sheria na taratibu zilizopo na kuepuka kuhatarisha amani ya nchi, kama wanataka tuingie kazini tutafanya hivyo, ila tunachowaasa ni kufuata taratibu zilizopo," alisisitiza.

Katika vurugu za juzi, watu 53 walitiwa mbaroni kwa tuhuma za kushiriki kwenye maandamano.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, watu hao watafikishwa mahakamani Oktoba 22 mwaka huu.

Nadhani ni sahihi kabisa kwa JWTZ kuingilia fujo za hawa wachomaji.Kwani JWTZ ni jeshi la kulinda wananchi, na hapa tumeona wananchi wakikosa amani kwa uvamizi, wizi, vitisho na mauaji yanayofanywa na baadhi ya vikundi vya KIISLAM!! BIGUP JWTZ, wakijaribu kutuharibia amani na utulivu wetu tena na iwe kama WAMEGUSA MBONI YA JICHO LAKO halafu wasikilizie muziki wake!
 
Kuna tetesi za kuingia kwa Wamalawi na Alshababy kwenye vurugu za ndani ndio maana JW wanaingia front.ile ya kwenda Ikulu kama ingeleta madhara wangeulizwa walikuwa wapi?!
 
Yani akili zao bana walijua wakifika ikulu wanachukua nchi elimu muhimu sana washukuru wazazi kukupa elimu
 
Hawa waandamanaji wamewazoea FFU na mabomu yao ya machozi, juzi hata Mgambo wa Jiji walitamba wakijua JW wapo
Big Up JWTZ zoezi liwe endelevu wajue Nchi sio dhaifu
 
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
Message is very clear and loud!
Kuna uzembe mkubwa katika kukabili wachafuzi wa amani ambao wanafanya vitendo vya kuidhalilisha serikali mchana kweupe.

Watu wana lazimisha kuandamana katikati ya jiji la DSM hadi makao makuu ya polisi aliko Saidi Mwema, na kudai wahalifu waachiliwe, na wanaachiliwa!
Uchomaji wa makanisa kwa zengwe la kutungwa kwa hila li kupata sababu ya kuleta vurugu nchini.

Watetezi na wanasiasa tuliowaamini wakujiumauma midomo kuchukua hata madhubuti kuzuia au kukemea vitendo hivyo.

Gaidi Ponda kujinafasi kwa kutoa matamko ya kichochezi mwaka mzima bila kuchukuliwa hatu yoyote.
Radio Annur na zingine za kiislamu kuendelea kutoa uchochezi bila kuchukiliwa hatua yoyote

Kwa mlolongo wa matukio hayo ni wazi polisi sasa wamekuwa compromised ha ni kama mbwa anayejua kubweka lakoni hana meno.

Hao waandamanaji si wanapajua makao makuu ya jesji Upanga?
Waandamane kwenda pale na waone kilichomg'oa kanga manyoya!

Kwamba jeshi, tegemeo la mwisho katika usalama wa nchi wameamua kuingilia kati vurugu hizi za waislamu is welcome news.
Hata hivyo waliokabidhiwa usimamizi wa hali ya kisiasa na usalama wa nchi hawajafnya vizuri so far!
Haya yote ni matokeo ya uzembe na kutotilia maanani umoja na mshikamano ulioachwa na waliotangulia kiuongozi.
 
Hayana hata aibu yamevaa pedo eti yakateke ikulu. Imani zingine bana! Yaturudishie sadaka zetu yananikera sana majitu haya.
 
Kuuliza kwanini JWTZ walihusika, si wakati wake, uliza lini tutaipiga Malawi.
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
 
Hayana hata aibu yamevaa pedo eti yakateke ikulu. Imani zingine bana! Yaturudishie sadaka zetu yananikera sana majitu haya.

sasa hao waislam wa kariakoo tu wamelitoa jeshi,,,,,,je wa nchi nzima?????
Hakuna mwenye mpango na ikulu,,,waislam hawatak ikulu,wenye kuhitaj ikulu ni chadema,ambao kwa siku 365 wanaandamana siku 300,
 
Yani akili zao bana walijua wakifika ikulu wanachukua nchi elimu muhimu sana washukuru wazazi kukupa elimu

hakuna muislam alotaka kufika ikulu kuchukua nchi,,,,wewe mwenye elim pia haijakusaidia,waislam walisema wanataka ikulu???kwana ni mara ya kwanza kwa watanzania wa nchi hii kuandamana kwenda ikulu????
Kumbe hata matukio yanayotokea nchi hii huyajui MBWIGA WEWE
 
Hawana maana Hawa jeshi la kuchumia tumbo tu.... Ningewaona wa maana Kama wangemngoa dhaifu madarakani
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom