Kwanini ITV haitangazi habari za ACT-Wazalendo?

ITV ni wabinafsi na wakabila sana.....hawawezi kutangaza habari za vyama vingine zaidi ya CHADEMA, ccm wanairusha sababu wanaiogopa eti kunasiku Mgombea Uraisi Kwa tiketi ya CCK wanamuita Mwanazuoni yaani hawataki kabisa vyama vingine visikike zaidi ya CHADEMA.....huu ni ujinga kwani hata hao CHADEMA imekuwa ngum kutoa mgombea mmoja wa UKAWA kama wanahisi hawa wagombea Urais na ubunge wa vyama vingine unawapunguzia nguvu CHADEMA na mpaka sasa wanapanga kumtangaza tena Dr Slaa...

ITV waache ubaguzi kiukweli.

vipi TBC na habari za CHADEMA? au ndiyo nyani haoni kundule!?
 
Binafsi Nafurahi sana Zitto akifanyiwa hivi. Wakati wa Escrow alitumika kama mpira wa kujamiana na Mengi ili amchafue Prof Muhongo kamaliza kazi sasa kwisha habari zake!
 
ITV ni wabinafsi na wakabila sana.....hawawezi kutangaza habari za vyama vingine zaidi ya CHADEMA, ccm wanairusha sababu wanaiogopa eti kunasiku Mgombea Uraisi Kwa tiketi ya CCK wanamuita Mwanazuoni yaani hawataki kabisa vyama vingine visikike zaidi ya CHADEMA.....huu ni ujinga kwani hata hao CHADEMA imekuwa ngum kutoa mgombea mmoja wa UKAWA kama wanahisi hawa wagombea Urais na ubunge wa vyama vingine unawapunguzia nguvu CHADEMA na mpaka sasa wanapanga kumtangaza tena Dr Slaa...

ITV waache ubaguzi kiukweli.

Mbona unaongea huku umebana Pua,hausikikii wala haueleweki.
 
Hiki chama kimeshindwa kutimiza matakwa yake ama lengo la uasisi wake - kitakufa muda si mwingi !!
 
Vyama vidogo vipo vingh sana kama tlp.cck,act,udp e.t.c sasa wewe unang'ang'ana na act kwasababu ni mtu wa mwandiga
 
Wadau,nimekuwa nikifatilia kwa karibu habari za kisiasa zinazoonyeshwa na vyombo vya habari ITV ikiwa ni miongoni mwao. Nilichobaini ni kuwa wanatangaza vizuri sana habari nzuri za CHADEMA na vyama vingine isipokuwa ACT Maendeleo.

Ukirejea hoja ya shirikisho la vyombo vya habari kuhusu kutetea uhuru wa vyombo vya habari likiongozwa na Mheshimiwa Dr. Mengi sioni uhalisia wa kuwepo huo uhuru hata sasa kwa wamiliki wa vyombo hivyo. Huenda ndio maana inaona ni vema ikaweka regulator wa kusimamia utoaji wa habari kwani wamiliki wameshindwa kuvifanya vyombo vyao kuwa huru.

Kwa mfano ACT Wazalendo imefanya mikutano mingi mikoa mbalimbali Tanzania, vyombo vya habari mbalimbali vilitangaza, isipokuwa ITV.Machali jana kajiunga na ACT Wazalendo, vyombo vingine vimetangaza isipokuwa ITV. Ndo kusema hii sio habari kwao.....????

Nafikiri ITV inaharibu reputation yake kwa wananchi waliokuwa wakikiamini chombo hiki.
wasaliti hakuna haja ya kuonyesha habari zao wasubiri TBC watazirusha
 
Hizo ni fitna za Mbowe kwani hata ule mkutano wao wa Mwembeyanga walitoa Mil 5 ( kama sikosei ) ili mkutano uende live lakini Mbowe kwa kuona ITV ni ya jamaa yake akaenda kutoa Mil 9 ili wasirushe mkutano wa ACT . Kimsingi ni kwamba Mbowe anatamani angekuwa na uwezo wa kuzima kabisa harakati za ACT WAZALENDO lakini ndio hivyo tena yeye sio MUNGU ! Mbowe ana roho mbayaa sanaa....
 
kwani zitto si alishasema waha wamepata chama chao(act-wasaliti)sasa wanalalamika nin si watangaze kigoma tv?! mbona udp nld.tlp na udp etc wanafanya mikutano hawalalamikk jpo hawatangazwi!
 
Usimsingizie kamanda Mbowe bali mwambie huyo Aya.tolla aache kujikomba kwa prezoo na kuchongea watu wengine kama Dr.Mengi.
Na mwambie baada ya shoga yake kung'atuka hamna rangi ataacha kuona!
Hizo ni fitna za Mbowe kwani hata ule mkutano wao wa Mwembeyanga walitoa Mil 5 ( kama sikosei ) ili mkutano uende live lakini Mbowe kwa kuona ITV ni ya jamaa yake akaenda kutoa Mil 9 ili wasirushe mkutano wa ACT . Kimsingi ni kwamba Mbowe anatamani angekuwa na uwezo wa kuzima kabisa harakati za ACT WAZALENDO lakini ndio hivyo tena yeye sio MUNGU ! Mbowe ana roho mbayaa sanaa....
 
kwani zitto si alishasema waha wamepata chama chao(act-wasaliti)sasa wanalalamika nin si watangaze kigoma tv?! mbona udp nld.tlp na udp etc wanafanya mikutano hawalalamikk jpo hawatangazwi!

mkuu chama hiki kipo localized Kigoma na kilianzishwa mahususi kabisa kwa ajili ya watu wa kigoma, sasa mikoa mingine tuna haja gani ya kujua kinachoendelea ACT?

Nawashauri waanzishe redio hawatoshindwa ili kisikike vizuri hukohuko kigoma.
 
Back
Top Bottom